Ni ipi ni njia nzuri ya kumdhibiti mtoto mtundu?

Ni ipi ni njia nzuri ya kumdhibiti mtoto mtundu?

Nadhani kwa 'Comment' yako tu hii tayari umeshajua 'tatizo' la huyo 'Mwanao' Mtundu ( Mtukutu ) limeanzia wapo na 'utakabiliana' nalo vipi sasa.
babu yake hakua na utundu wa kuharibu vitu ndo maana anasema huyu kazidi, ila kupitia shauri za hapa jukwaani nadhani nitapata suluhu
 
Dawa ni fimbo, fimbo, fimbo......
Hakikisha anatandikwa bakora za kutosha, kwa utaratibu mzuri na kiuungwana. Atanyooka tu.
Dawa ni fimbo, fimbo, fimbo......
Hakikisha anatandikwa bakora za kutosha, kwa utaratibu mzuri na kiuungwana. Atanyooka tu.
fimbo hazijasaidia ndo maana nikatafuta ushauri hapa, shauri nyingi hapa ni nzuri na natumai zitanipa utatuzi wa jambo hili
 
Mwambie mkeo naye awe na msimamo kama wako la sivyo wewe utakuwa unamuonya hata kumpiga mtoto lakini akienda kwa Mama yake au wakiwa wawili anambembeleza na kumwambia achana na baba yako hakupendi huyo !
Kuna wanawake wa ajabu sana na Ndiyo huchangia kuharibu tabia za watoto!
ahsante ndugu
 
Habari wana JF,,

Mwanangu ana miaka 5 lakini ni mtundu kupita kiasi, daily anaharibu vitu ndani, anapiga wenzake, ashameza msumari akanusurika, alimtia harage puani mdogo wake mpaka akatolewa hospitali, hua nina mchapa kiasi lakini sioni akipunguza utundu.

Laiti kungekua na selo za watoto nadhani ningempeleka kwanza akatulie huko, please mwenye kujua njia nzuri ya kumkabili mtoto wa aina hii anijuze maana nahisi kuchanganyikiwa.
dawa ni mikwaju tu.
 
Cha pili pia kama una mpango wa kuongeza mtoto mwingine epuka majina ya kurithi....majina mema au majina ya kwenye bible /quraan

Nitaftie kokote pale ulipoona watu wenye majina ya neema...furaha...bahati...amani...upendo wenye kujielewa...(ukipata ni 1 katika 30)

Mfano hai:
Kuna mzee alifariki...na akazaliwa mtoto kwa kaka yake..(wakampa jina la marehem)

Yaan tabia zote za marehem kazichukua...mtundu...mbiiishi...mkorofi...hasikiii

Uzazi sio kuzaa tu
Kwa hiyo majina bora ni Dickson, Fredrick, Mohammed etc.
Nawajua Neema na Bahati wengi tu wanajielewa. Vipi Neema ikiitwa kwa Kiingereza Grace inakuwa sawa?
 
Unapompa mtoto jina unanuia....!kile unachonuia ndicho kitakchotokea...na pia cku hiz wazaz wanatoa majina tu kwa kuangalia tamthilia na mitandao....!!

Kumpa mtoto jina ni zaidi kutamka tu...pale unamuomba Mungu mwanao awe mtu wa aina gan

Sasa kama issue ni kunuia una hakika gani Wazazi wa Neema, Baraka au Upendo hawakunuia mema
 
Back
Top Bottom