Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
tandika viboko,wakati nipo mdogo zaidi ya mitaa 3 walikuwa watoto wote wanamuogopa mzee fulani alifahamika kwa ustadi wake wa kucharaza bakora watoto hadi mimi niliwahi kuwa Victim aisee nilicharazwa[emoji23]
yule mzee alikuwa anamchapa mtoto mpaka anakukalia
yule mzee alikuwa anamchapa mtoto mpaka anakukalia