Puff, puff, pass! Naunga mkono hoja.Vuta bangi
Pole sana hili ni tatizo ambalo unaweza kuliacha lakini lazima ukubaliane kuachana na marafiki wa hovyo.
1.chagua marafiki wema wasio walevi wa sigara
2.Marafiki walio makini wasiojihusisha na sigara
3.Fanya mazoezi sana kuepuka kuwa na muda wa kutembelea sehemu za ajabu
4.Marafiki wanao mjua Mungu ili upate ushauri kiafya
5.Fanya kazi sana kuwa Bize
6.Tumia muda mwingi kanisani na semina za kidini.
7.Soma biblia sana
Looh😂😂😂Hakuna starehe nzuri kama sigara, kwa kweli uongo mbaya, siwezi kuacha.
Ha ha ha hayaa.Ni YESU tu ambaye anaweza kukutoa kwenye kila aina ya kifungo cha shetani. Uvutaji wa sigara ni kazi ya mapepo kama zilivyo dhambi nyingine. Na kushughulika nayo unahitaji msaada wa yeye aliye na nguvu zaidi. Jina lake ni Yesu Kristo Mwana wa Mungu alye hai.
Hivi mkuu kuna uhusiano kati ya pombe na sigara eeh?Pole Sana mamie...
Yaani Fegi balaa...
Binafsi ninapigana kuacha....daah japokuwa ninazijua vyema njia sahihi za kuquit...lakini wapi....
Kuna Kipiñdi ninakaa miezi 3 bila ya kuvuta but unfortunately Ninarudia Tena😁😁
Ila nimeweza kupunguza 20 Cigs a day,kuwa 5 kwa Sasa....
Siri ni KUNYWA MAJI KWA WINGI ninappsikia hamu ya kuvuta...
Pia Mazoezi mengi Kama kuruka kamba,push ups,pull ups,squats,planks(normal&side).
Sigara ni tamu mno..ila ni mbaya Sana kiafya hususani tukija kuwa wazee,COPD,Saratani,CDs etc.
Kuacha kunahitaji COMMITMENT and dedications.....
Angalizo:
Kàma hujawahi KUVUTA,PLZ PLZ PLZ DONT DO IT.