Ni ipi njia nzuri ya kupunguza uvutaji wa sigara?

Ni ipi njia nzuri ya kupunguza uvutaji wa sigara?

Ila kuna watu mnajiweza yani kuharibu mapafu yangu bila sababu ya msingi mie siwezi,nakumbuka utotoni urafiki mmoja alikuwa anatufundisha kuvuta sigara na mie nikawa nafuata mkumbo. Tatizo nilikuwa sioni radha yeyote naona domo linakuaje sijui halafu nahisi kabisa meno yanaharibika na kibaya nilikuwa nahofia kunuka moshi wa sigara nikirudi home.
Nashukuru hatukuendelea hilo zoezi nilivuta mara mbili tu ndio hadi leo.
 
Back
Top Bottom