Samahani Mkuu Mapepo Ni vitu gani?. Nasikia Sana Hilo nenoNi YESU tu ambaye anaweza kukutoa kwenye kila aina ya kifungo cha shetani. Uvutaji wa sigara ni kazi ya mapepo kama zilivyo dhambi nyingine. Na kushughulika nayo unahitaji msaada wa yeye aliye na nguvu zaidi. Jina lake ni Yesu Kristo Mwana wa Mungu alye hai.
you got it rightAnza kuvuta ganja matumbaku yatakukataa yenyewe
Kuachana na marafiki ni uongo tu , huyu sigara ananunua mwenyewe , kwa kiwango anachovuta huyu si wa kugongea wala wa kusikia harufu ya mvutaji mwingine na kutamaniPole sana hili ni tatizo ambalo unaweza kuliacha lakini lazima ukubaliane kuachana na marafiki wa hovyo.
1.chagua marafiki wema wasio walevi wa sigara
2.Marafiki walio makini wasiojihusisha na sigara
3.Fanya mazoezi sana kuepuka kuwa na muda wa kutembelea sehemu za ajabu
4.Marafiki wanao mjua Mungu ili upate ushauri kiafya
5.Fanya kazi sana kuwa Bize
6.Tumia muda mwingi kanisani na semina za kidini.
7.Soma biblia sana
Acha uongo, mimi nisipopiga cha chuga sigara zinakuwa 3_5 tu kwa siku.
hakuna starehe nzuri kama sigara, kwa kweli uongo mbaya, siwezi kuacha.
Hallo wakuu, na imani mpo salama kabisa time hii,
Samahani Naomba kuuliza kwenye uelewa wa swala hili.
Ni hivi tangu nikiwa advance level Nilikuwa napenda sana na kuvutiwa na cigarette, lakini kutokana na mazingira ya school zetu hizi za boarding nikashindwa kufanya nachotaka na ninachopenda.
Basi after maisha ya advance nikaanza life jipya na ambalo nilikuwa na feelings nalo tangu nikiwa kinda,
Moja ni kuvuta sigara.,
Kutokana na mazingira ya kibongo bongo kwa mwanamke ukioneka kwa public ya kiswaz unapiga vyombo kama hivyo basi utaitwa majina yote mbaya.
Kwa hiyo nikaamua napiga vyombo kwa home au zile sehemu za starehe lakini zenye watu wanaojilewa na vile nilikuwa Rasi
Kwa hiyo hakuna hata mutu alikuwa na Time ya kunishangaa, maisha yanaendelea
Maisha ya kaenda miaka ikaongezeka lakin naona it's too much kwa kweli kwan navuta sigara paketi moja hadi moja na nusu kwa siku,
Sasa naona kabisa ni Hatari kwa afya yangu na nimekuwa addicted kwenye hilo.
Sasa nataka nipunguze hadi nifikishe sigara mbili au tatu kwa siku nifanyeje?
Am sorry
You are missed bossYou totally missed the point 😷
Hivi Usipovuta sigara na kunywa pombe ndio unakuwa rafiki mwema?? Hovyo kabisa.
Let's meet at the top, cheers 🍻
sijui nikuelezeje, lakin nisipovuta sigara nahisi mdomo mchache, sipati ladha ya chochote ninachokula/ kunywa, nikivuta at least sasa najisikia normal,Unaweza kuelezea utamu ukoje,kwa kifupi huwa nashindwa kuelewa addiction yake. Je ipo kama kahawa,kwani ni kitu ambacho mimi nina addiction nayo
sijui nikuelezeje, lakin nisipovuta sigara nahisi mdomo mchache, sipati ladha ya chochote ninachokula/ kunywa, nikivuta at least sasa najisikia normal,
Kausha kinyesi chako uvute.Hallo wakuu, na imani mpo salama kabisa time hii,