Ni ipi njia nzuri ya kupunguza uvutaji wa sigara?

Nilipokuwa chini ya wazazi hasa form 2,3 na 4 nilikuwa navuta mpaka pakiti kwa kujificha hasa nikishapiga ulanzi. Tangu niwe huru hata sijui niliziacha vipi.
Siku hizi napiga gambe tu mdogo mdogo, kuna kipindi niliacha nikaona hakuna jipya.
Naamini ukiamua utaweza hasa ukiweka mbadala wa sigara.
 
Samahani Mkuu Mapepo Ni vitu gani?. Nasikia Sana Hilo neno
 
niliacha fegi 2020 march sasa hivi ni haka kadawa polepole mara 5/6 kwa siku baasi
 
Ulikuwa Advance Level au Advanced Level? Hivi nyie mmesoma shule za uchochoro wapi? Halafu unalia huna ajira! Nani atakuajiri kwa kiingereza takataka kama hiki? Ndiyo maana hata interviews zinawashinda kila kukicha!
 
Na jinsi ya kuacha pombe jamani tusaidiane. Kuna dogo anateseka hadi anakaribia kuhatarisha kibarua chake
 
Kuachana na marafiki ni uongo tu , huyu sigara ananunua mwenyewe , kwa kiwango anachovuta huyu si wa kugongea wala wa kusikia harufu ya mvutaji mwingine na kutamani

Hebu mshauri mwenyewe binafsi aache fegi , usihusishe biblia , maana mapadre wengi tu wanavuta sigara , tena hadharani
 


Bushmamy mie nimejikuta nacheka balaa am sorry aise..hahaa pakt nzima🤣🤣...ssa wakat una mimba ilikuaje/unaishije na huku hairuhusiwi?🤣🤣
Nna shost yy toka advanced ni mwendo wa nyagi ..akijifungua tu mtoto anaonekana ana sukari...wanaye wana 4yrs,6,7,9,10! Wote wanavaa miwani..🙄.Dk akasema chanzo ni hizo konyagi ...anasumbuka balaa na sukari za wanaye...vitoto vidogo vina glasses😇
.ila umenifurahisha best ..polee..
 
Unaweza kuelezea utamu ukoje,kwa kifupi huwa nashindwa kuelewa addiction yake. Je ipo kama kahawa,kwani ni kitu ambacho mimi nina addiction nayo
sijui nikuelezeje, lakin nisipovuta sigara nahisi mdomo mchache, sipati ladha ya chochote ninachokula/ kunywa, nikivuta at least sasa najisikia normal,
 
sijui nikuelezeje, lakin nisipovuta sigara nahisi mdomo mchache, sipati ladha ya chochote ninachokula/ kunywa, nikivuta at least sasa najisikia normal,

Sawa mkuu,mimi mzee alikuwa mvutaji sana. Alikuwa anasema hawezi kuwaza vizuri asipovuta,nikawa sielewi kabisa
 
Kausha kinyesi chako uvute.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…