Ni ipi sababu ya Rais Samia kuwa karibu sana na kuipa uzito Nchi ya Oman?

U.A.E , Oman na wote wa dini ile , huu ni muda wao wa kula nchi, kuanzia kuuziwa Loliondo, Ngorongoro, kupewa ubia wa Bandari bila kuchangia chochote, kupewa ujenzi wa bandari kwa masharti ya mlevi tu ambaye anaweza kuyakubali N.K N.K
Halafu baada ya kufanya hivyo, 2025 anapatikana Magufuli asiyekuwa na 'ushetani' kama ule wa mtangulizi wake.

Hapo ngoma itanoga sana!
 
bi sultani
 
Hapana Oman ni Taifa kongwe, source ya watu weusi wa oman ni Ukanda wa pwani ya Afrika mashariki Kuanzia Ethiopia hadi huku kwetu. Kumbuka kuna Kipindi makao makuu ya Oman yalikuwa ni Zanzibar kabla ya kugawanyika kuwa mataifa mawili tofauti.
Kwa hiyo, watu asili wa Oman ni waarabu wenyewe. Hawa weusi waliletwa baadae huko; na walipofika huko, ndio wakawa watawala!

Hadithi yako bado ina upungufu mkubwa.
 

Amani Karume raisi mstaafu, baba ake alikua Muarabu?
 

Nitakukosoa sehemu moja tu, Huijui Oman mama, Oman Ipo mbali sana kimaendeleo na kitechnolojia ukilinganisha na TZ.
 
Kwa hiyo, watu asili wa Oman ni waarabu wenyewe. Hawa weusi waliletwa baadae huko; na walipofika huko, ndio wakawa watawala!

Hadithi yako bado ina upungufu mkubwa.
Mkuu sijui wapi unashindwa kuelewa.

Mwarabu katoka oman kaja Tanzania, kazaa na Mtanzania, mwanae nae kazaa na Mtanzania, mjukuu kazaa na Mtanzania etc hapa damu imechanganyika wee mpaka wanakua weusi, ila ukoo na asili bado ni ya oman, wajukuu na Vitukuu wanarudi oman hali ya kuwa ni weusi na wanapokelewa, na sababu wengine ni lineage ya usultani wanapewa pia Chance ya kuwa watawala. Sijui hapa nimeeleweka?
 
Kwani kuna tatizo lolote tukiwa karibu na Waingereza na Wajerumani? Mimi naona ni jambo la kawaida kabisa kuwa na mahusiano mazuri na nchi zilizotutawala kuliko zingine. Hata wananchi wengi wenye asili ya Zanzibar wako Oman, hivyo ni jambo la heri tu kuliko kutia wasiwasi.
 
Hadi sasa ninachojua tu ni kwamba Zanzibar ilikuwa koloni la Oman na masultani wake walikuwa na asili ya Oman.
Zanzibar, haijawahi kuwa koloni la Oman au koloni la yeyote, bali mwaka 1732, Sultan Sayyed Said wa Oman, aliihamishia the Sultanet yake kutoka Oman na kuihamishia Zanzibar.

Wakati wa Mkutano wa Berlin kuigawa Africa, Zanzibar haikugawia, iliachwa kwa Sultan of Zanzibar. Hivyo Zanzibar has never been colonized.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…