baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Biashara ya utumwa ilifanywa na wote Oman ni ng'ombe tu wa kafara.nachosisitiza ni huu undugu wa damu mnaolazimisha ilhali hakuna ndugu yako wa damu ambae anakufanyia madhila kama yale, vivyo hivyo kwa mzungu n.k wote walikuja kwa faida yao na si kingine. Hivyo kwa chochote tutachofanya tuangalie maslahi ya taifa kwanza, mambo ya undugu tupa kule maana tukichanganya urafiki na biashara tutapata hasara.
1. Biashara ya utumwa ya mashariki haikubase kwenye ubaguzi wa rangi, hata hao wazungu wenye bias na warabu wanalikubali hili. Kuna waarabu walikuwa ni watumwa, wazungu watumwa, watu weusi watumwa etc, haikuwa case ya race moja kuifanya race nyengine watumwa kama Marekani.
Mfano mzuri Slave trader mkubwa huku kwetu ni Tipp tipu sio? Wala hakuwa mwarabu,
2. Aksum Empire Ethiopia ya sasa ndio walikuwa wakimiliki Trade route zote hizo kuanzia pwani ya Afrika mashariki mpaka Yemen, oman na India. Ethiopia si waarabu.
Wa oman wao walikuwa ni watu wa route tu, kutoa bidhaa sehemu moja kupeleka nyengine, ila waliokuwa wakiprovide watumwa ni machief, mfano makabila mawili yakipigana anaeshindwa unakuta watu wake wanauzwa kama watumwa.