Ni ipi sababu ya Rais Samia kuwa karibu sana na kuipa uzito Nchi ya Oman?

Ni ipi sababu ya Rais Samia kuwa karibu sana na kuipa uzito Nchi ya Oman?

nachosisitiza ni huu undugu wa damu mnaolazimisha ilhali hakuna ndugu yako wa damu ambae anakufanyia madhila kama yale, vivyo hivyo kwa mzungu n.k wote walikuja kwa faida yao na si kingine. Hivyo kwa chochote tutachofanya tuangalie maslahi ya taifa kwanza, mambo ya undugu tupa kule maana tukichanganya urafiki na biashara tutapata hasara.
Biashara ya utumwa ilifanywa na wote Oman ni ng'ombe tu wa kafara.

1. Biashara ya utumwa ya mashariki haikubase kwenye ubaguzi wa rangi, hata hao wazungu wenye bias na warabu wanalikubali hili. Kuna waarabu walikuwa ni watumwa, wazungu watumwa, watu weusi watumwa etc, haikuwa case ya race moja kuifanya race nyengine watumwa kama Marekani.

Mfano mzuri Slave trader mkubwa huku kwetu ni Tipp tipu sio? Wala hakuwa mwarabu,

2. Aksum Empire Ethiopia ya sasa ndio walikuwa wakimiliki Trade route zote hizo kuanzia pwani ya Afrika mashariki mpaka Yemen, oman na India. Ethiopia si waarabu.

Wa oman wao walikuwa ni watu wa route tu, kutoa bidhaa sehemu moja kupeleka nyengine, ila waliokuwa wakiprovide watumwa ni machief, mfano makabila mawili yakipigana anaeshindwa unakuta watu wake wanauzwa kama watumwa.
 
Aisee!
Naona kama suala la Uhuru wa Znz limetawaliwa na propaganda nyingi..
Hii maana'ake nini?
👇👇
Disemba 10 mwaka 1963, Zanzibar ilipata uhuru kutoka kwa Uingereza, lakini ya vyama vya ZNP na ZPPP iliyoingia madarakani iliondolewa katika mapinduzi ya tarehe 12 Januari 1964. Ni tarehe hiyo ya mapinduzi inayotambuliwa kama siku ya uhuru wa visiwa hivyo...

Nadhani Uhalisia ni kuwa, Znz ilipopata Uhuru kutoka kwa Uingereza mnamo 10/12/1963, Uhuru huo uliangukia mikononi mwa wakoloni wengine - Waarabu, ndipo sasa mapinduzi yakafanyika kufurusha hao wakoloni wapya😊
Kwamba waarabu wametawala znz mwezi mmoja?

Na huyo Raisi aliechaguliwa 1963 somebody shamte hakuwa mwarabu.
 
Hawa waZenj wamepumbazwa sana na vijizawadi wanavyopewa kutoka kwa watawala wa Oman ambao ni ndugu wa Sultan aliyepinduliwa 1964!!

Sijui kwanini wanadhani hawa waliopinduliwa na sasa wako Oman hawataki kurudisha kile ambacho wanaamini walinyang'anywa? Mimi naona wanawakula timing tu siku moja mtakuja kukuta manowali iko nje ya Bandari wanayojenga na hapo ndiyo mtakapojua kunyoa au kusuka?
Huko tanganyika waingereza wameleta manowari!!?...au kwa kuwa Oman ni waarabu na waislamu!?
 
Hata kama ni Wajomba zake hakuna Ubaya...

Ubaya utakuja pale wachache kujaribu kuingia mikataba ya ajabu ya rasilimali bila wananchi ambao nao sio mali yao bali ni walinzi wa mali ya kizazi kijacho kuhusishwa

Kina Chief Mangungo wa Msovero tunawatukana mpaka leo sasa unadhani vizazi vijavyo vitasemaje kuhusu hizi Sarakasi
 
Nimekuwa nikiona Rais wetu akiipa uzito hii nchi ya kuitwa Oman.

Hadi sasa ninachojua tu ni kwamba Zanzibar ilikuwa koloni la Oman na masultani wake walikuwa na asili ya Oman.

Ila leo pia nimeona hii nchi nayo ipo mbioni katika kinyanganyiro cha kujenga Bandari ya Bagamoyo.

Kwa anaejua japo hata kidogo ningependa kujua nini hasa kipo nyuma ya pazia.
Historia inasema mji wa Zanzibar ulikuwa mji wa pili mkuu wa Oman enzi hizo.
 
USA Kuna wamarekani weusi na shida wanazozipitia, vipi kuhusu waarabu weusi Oman wapo? Akili za kuambiwa changanya na za kwako...

Waarabu ni makatili hasa wala siwatetei lakini penye ukweli hatuwezi kupindisha.... Oman haina ubavu wa kututawala ABADANI ....
Huko Oman kuna weusi wengi tu,tena inaweza kua weusi ni wengi kuliko weupe,kuna miji kama SUR na SALALA huko ni weusi tupu,

Acha kuaminishwa kwa maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa,tumia hata simu yako kukutoa gizani.
 
Nimekuwa nikiona Rais wetu akiipa uzito hii nchi ya kuitwa Oman.

Hadi sasa ninachojua tu ni kwamba Zanzibar ilikuwa koloni la Oman na masultani wake walikuwa na asili ya Oman.

Ila leo pia nimeona hii nchi nayo ipo mbioni katika kinyanganyiro cha kujenga Bandari ya Bagamoyo.

Kwa anaejua japo hata kidogo ningependa kujua nini hasa kipo nyuma ya pazia.
Historia ya Oman na Afrika ya Mashariki.
kwa kukusaidia, fuatilia vipindi vya Aljazeera TV, wameeleza vizuri kuhusu hicho unachouliza.
Kipindi kinaitwa Aljazeera World, na mada ilikuwa; Oman: History, Power and influence.
Utajua kwanini Raisi anaipa uzito Omani.

link: Oman: History, Power and Influence
 
Inawezekana anaanda mazingira ya hifadhi ya ukimbizi wa kisiasa , upinzani ukichukua nchi.
Upinzani TZ unahitaji miaka 50 ijayo kuwa na uwezo wa kuchukua nchi kwa ccm. Tusijidanganye kwa maneno na press conference zisizowafikia 85% ya Watanzania, cdm,act wala cuf ukiwachanganya hawana representation u 70% ya nchini. Bado mna kazi kubwa sana, endeleeni kujitahidi mtafika
 
Nina maana weusi wa Oman na wa USA changamoto wanzopitia ni sawa? Ubaguzi na kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji..... ninachofahamu waoman wengi walioleana na wazanzibar hivyo ni ndugu zaidi kuliko mtu na bwana wake...

Unaweza kuweka hapa tukajifunza...
Huko Omanweusi a weusi wengi tu,tena inaweza kua weusi ni wengi kuliko weupe,kuna miji kama SUR na SALALA huko ni weusi tupu,

Acha kuaminishwa kwa maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa,tumia hata simu yako kukutoa gizani.
 
Aisee!
Naona kama suala la Uhuru wa Znz limetawaliwa na propaganda nyingi..
Hii maana'ake nini?
👇👇
Disemba 10 mwaka 1963, Zanzibar ilipata uhuru kutoka kwa Uingereza, lakini ya vyama vya ZNP na ZPPP iliyoingia madarakani iliondolewa katika mapinduzi ya tarehe 12 Januari 1964. Ni tarehe hiyo ya mapinduzi inayotambuliwa kama siku ya uhuru wa visiwa hivyo...

Nadhani Uhalisia ni kuwa, Znz ilipopata Uhuru kutoka kwa Uingereza mnamo 10/12/1963, Uhuru huo uliangukia mikononi mwa wakoloni wengine - Waarabu, ndipo sasa mapinduzi yakafanyika kufurusha hao wakoloni wapya😊

Mapinduzi au mavamizi ya Nyerere Na Na Okello wake?
 
Nimekuwa nikiona Rais wetu akiipa uzito hii nchi ya kuitwa Oman.

Hadi sasa ninachojua tu ni kwamba Zanzibar ilikuwa koloni la Oman na masultani wake walikuwa na asili ya Oman.

Ila leo pia nimeona hii nchi nayo ipo mbioni katika kinyanganyiro cha kujenga Bandari ya Bagamoyo.

Kwa anaejua japo hata kidogo ningependa kujua nini hasa kipo nyuma ya pazia.
U.A.E , Oman na wote wa dini ile , huu ni muda wao wa kula nchi, kuanzia kuuziwa Loliondo, Ngorongoro, kupewa ubia wa Bandari bila kuchangia chochote, kupewa ujenzi wa bandari kwa masharti ya mlevi tu ambaye anaweza kuyakubali N.K N.K
 
Hii nchi ikiongozwa na Muislamu kuna baadhi ya Makafiri yanaumia sana hivyo kazi yao kila siku inatafuta jambo la kumkashifu na kumtusi,Ebu angalia miaka kadhaa iliyopita kulikuwa na jini kisirani lakini pamoja na ubaya wote lakini ndio kwanza likawa linasifiwa!
 
Back
Top Bottom