EeeeenHeeeee, what a spin. Hiyo aya ya kwanza, wa Oman walikuja kuwakomboa waafrika kutoka kwenye ukoloni wa Mreno?
Ndio Kuna vita vingi tu na maarufu ni Fort Jesus Mombasa.
Huyo "mtawala mweusi" alitokea wapi?
Masultani wengi wa Zanzibar na Oman walikuwa ni machotara na wengine ni Weusi kabisa, walitokana na mchanganyiko wa Damu wa mamia ya miaka, babu na babu yao ni Mwarabu ilaa baada ya Inter marriage wanabadilika
Baadhi ya picha zao
Huyu ni Humud
Jamaa smart sana, Ana Ana tuzo nyingi kote mashariki na Magharibi UK, Italy, Portugal mpaka Ottoman, anafaa hata kwenye mitaala mashuleni afundishwe kuondoa mentality za kitumwa mashuleni.
Huyu Faisal
Ujana wake
Familia
Sasa walipokwishamwondoa mkoloni, na wao kuwa wakoloni wapya, hawakuleta wanawake wao, kama ma'settler' wengine wanvyofanya maeneo mengine, kama Afrika Kusini?
Unaweza ukaangalia picha za juu, mtu mweusi as long as ni lineage ya Familia zao habaguliwi Oman na wala Hakubaguliwa zanzibar, Hata Biashara ya Utumwa Zanzibar weusi wa Zanzibar hawakufanywa watumwa, mpaka Leo wa Znz wana status kama Mwarabu mwengine Oman.
Hivyo waliendeleza Familia zao hivyo hivyo za Machotara. Na WA Oman ni wa Chache sana at that time kama kumbukumbu ipo sahihi population ya Oman ni kama 50K, now wapo around 2M.
Hilo la mentality ya kutokuwa wabaguzi siwezi kulisemea. Pengine Wa-Oman, siyo waarabu basi? Historia ya hao watu siijui, na kusema kweli Oman ni nchi ambayo siijui kabisa, hata kwenye ramani ukiniwekea mbele niitambue siwezi. Na usidhani kwamba sina elimu ya jiografia ya kutosha, ni tu kwamba 'impact' ya Oman katika maisha yangu haipo kabisa.
Wapo low profile mambo Mengi ndio maana hawajapita machoni mwako.
Wanazalisha sana hasa kitu gani, mafuta au gesi? Kuna kitu chochote cha kiwandani wanachotengeneza na wanasifika sana duniani kwa kitu hicho?
Mafuta na Gesi, Dhahabu, uvuvi, cement, optic fiber etc.
Wana export Vitu Japan Na China kuliko wanavyonunua, uchumi wao Asilimia 47 ni viwanda.
Ni nchi ya 41 duniani kwa Gdp per capita na ya 23 duniani Ukitumia PPP per capita.