KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Halafu baada ya kufanya hivyo, 2025 anapatikana Magufuli asiyekuwa na 'ushetani' kama ule wa mtangulizi wake.U.A.E , Oman na wote wa dini ile , huu ni muda wao wa kula nchi, kuanzia kuuziwa Loliondo, Ngorongoro, kupewa ubia wa Bandari bila kuchangia chochote, kupewa ujenzi wa bandari kwa masharti ya mlevi tu ambaye anaweza kuyakubali N.K N.K
Hapo ngoma itanoga sana!