Ni ipi sababu ya Rais Samia kuwa karibu sana na kuipa uzito Nchi ya Oman?

Kwanza ungejifunza historia ya Zanzibar kabla ya kutuletea hisia zako koko zilizoujaza moyo wako na zilizo kinyume na UHALISIA wa unayotaka kutufafanulia hapa.....
Nimesoma historia ya Zanzibar toka enzi ya babu zake Seyid Bargash!! Kama unadhani hizo ni hisia ngojea mkija pigwa majambia halafu mje mtusumbue vijana wetu toka bara waje kuwakomboa!! Hapo ndipo mtakapojua kuwa huo ndio uhalisia. Waarabu sio watu hata wakiwa koko! Sisi bara tunawatambua!!!
 
Kwako wewe mzanzibari ni mtanzania nusu asiyestahili kuwa RAIS wa taifa hili....

Sijui ujinga +upumbavu huo ni elimu uliyofundishwa?....🙏
Ni kama upo nje ya mada kabisa, umejiwekea ya kwako unayoyafikiria kichwani ambayo mleta mada hakuyaweka kwenye andiko lake.

Bado hujamsaidia chochote katika maswali aliyouliza apate jibu. Kwa nini usijibu tu maswali yake.
 
Yaani wabongo bhana.... mbona kutwa tukiisifia USA, UK na nchi nyingi za Ulaya ambazo zilikuwa ni Wakoloni wetu na hatuoni shida?...
Nimepapenda hapo penye "--- familia zenye mchanganyiko wa damu," jambo ambalo limenikumbusha habari ya Rais Karume wa kwanza na kuoa mwarabu, enzi hizo.

Hivi mkuu 'Maria Nyedetse', (samahani, kidogo nilitaka kukosea kuweka g, badala ya d kwenye jina lako), uliwahi kuona au kusikia ni waafrika (weusi) wangapi huko Zenji waliobahatika kuoa wanawake wa kiarabu? Unayo mifano ututajie?

Hawa watoto wenye "mchanganyo wa damu" unaowazungumzia hapa, baba zao ni weusi, au mama zao pekee ndio weusi?
 
Nimekuwa nikiona raisi wetu akiipa uzito hii nchi ya kuitwa Oman.

Hadi sasa ninachojua tu ni kwamba Zanzibar ilikuwa koloni la Oman na masultani wake walikuwa na asili ya Oman...
Nyuma ya pazia inategemea kama ni mlangoni au dirishani na kama no dirishani inategemea kama ni dirisha la grill au la Mbao na kama ni la Mbao inategemea Nondo zake zikoje hivyo ni ngumu kujua kilicho nyuma ya pazia kabla ya kufunua

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Chuki haikusaidii.....

Dunia nzima tuliambiwa Warusi watu wabaya na hawafai....elimu na propaganda ikasambazwa hivyo lakini muda si mali ya binadamu....kila uchao wanadamu wanafunguka kifikra....

Haiwezekani "race" fulani ikawa mbaya kuliko zote...hizo ni propaganda mfu na koko.......

Ubaya na wema ni tabia za binadamu wote....endelea kujidanganya tu......

Dunia Inaendelea kushirikiana...tunahitaji GESI+MAFUTA ya waarabu kama tunavyohitaji vyengine kutoka Ulaya....ikiwa waarabu si watu ,je wazungu ndio watu zaidi?!!!😳😳🤣🤣

Zanzibar ilishapata uhuru wake......Tanzania ilishapata uhuru wake na hakuna wa kuturudisha nyuma....

#Siempre JMT🙏
#YetzerHatov
 
Hata wabongo wapo wengi sana kule Salala Omani ,ni wale ambao wakikamatana huko mikoani wakija kuuzana pale Unguja.
Nendeni mkaulizie jamaa zenu msibwate tu.
Huyu anauza genge
 
Umemaliza🤣🤣 👍👍👏👏👏😍😍
 
😍
 
Kwa sababu waoman ni ndugu zetu wa damu, utawala wa oman zanzibar huwezi kuufananisha na utawala wa uingereza au ujerumani ambapo utawala ulikuwa ukiendeshwa kutoka London au kutoka Berlin.
 
Ni Saudi Arabia anaenda ku visit, nchi ambayo jumamosi iliyopita serikali ilikata vichwa na kuua watu 81 kwa pamoja (mass executions) Kwa 'makosa' mbalimbali ikiwemo ugaidi, imani za dini, nk 🙄


 
Baba yake aliuza Loliondo KWA waarabu na kwasasa wakazi wa ngoro ngoro wanaandaliwa makazi like handeni !HEBU connect dots hapo!!umenipata Boss!!!??Ndio màana FDR franklin delano roosevelt anatakiwa awahishwe kitalani kuzuia nchi kupigwa mnada!!!Uzi umefungwa hapo!!
 
NGORONGORO CRATER
 
Ni Saudi Arabia anaenda ku visit, nchi ambayo jumamosi iliyopita serikali ilikata vichwa na kuua watu 81 kwa pamoja (mass executions) Kwa 'makosa' mbalimbali ikiwemo ugaidi, imani za dini, nk 🙄
Ameenda kuiimarisha mahusiano ya kibiashara... kwanini isiwe Sisi....


Leo kwenye sector kama michezo mfano Manchester city, PSG wamewekeza waarabu.....

Kwa hiyo tuiamini serikali yetu jamani
 

Wanapenda halua za bure.
 

Achana na akili za kitumwa na tegemezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…