KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kwani ni kipi nilichopotosha hapo mkuu wangu 'dos.2020? Mimi nimeuliza swali baada ya kutoelewa ulichoandika wewe, halafu sasa unanigeuzia kibao kwamba ninapotosha?Namzungumza AMani Karume. Abeid Karume alikua ni muafrika alioa Chotara. Acheni kupotosha historia
Hawa 'machotara' ndio waarabu wa Oman, au huko Oman kuna waarabu asilia kama zilivyo nchi nyingine za kiarabu? Watu hawataki kulijibu hili swali, sijui kwa nini?
Hebu tusaidie wewe mkuu 'dos.2020, kama unayaelewa vizuri haya mambo.