Sera yao itakuwa ile ile kwasababu lengo halijatimia.You don't want peace,, you want problem always!!!
Kilikuwa na Uchaguzi mwaka huu.!?Uchaguzi ushaisha na mambo yanaendelea je chadema kwa sasa wana sera gani ambayo hata leo mwenyekiti wao akitoka watatamba nayo kwenye mikutano ya hadhara?
Siasa siasani karibuni wanachadema mtujuze sisi ambao hatuna vyama
Unauliza kama zuzu vile.Uchaguzi ushaisha na mambo yanaendelea je chadema kwa sasa wana sera gani ambayo hata leo mwenyekiti wao akitoka watatamba nayo kwenye mikutano ya hadhara?
Siasa siasani karibuni wanachadema mtujuze sisi ambao hatuna vyama
Quote namba ngapi umeweka sera ya chama lako?Soma vizuri uzi
Reforms hazisubiri uchaguzi, ni za muda wowoteKwahiyo watahubiri NRNE kulenga uchaguzi wa 2030
Kurenga uchaguzi wa 2025, NRNE ya mchongo, ililengeshwa na nani?Kwahiyo watahubiri NRNE kulenga uchaguzi wa 2030
Unafunga mtu mdomo halafu unataka maoni yake?Bado, je kwakuwa imefungiwa haina sera
Kumbe napoteza muda kuzungumza na LOFA🙌🙌Kasome tena unaonekana umesoma heading tu
mangichogo pitia hapa usiwe mvivu kusoma hadi mwishokaribuni wanachadema mtujuze sisi ambao hatuna vyama