Ni ipi sera ya CHADEMA kwa sasa baada ya No Reforms, No Election (NRNE)?

Uchaguzi ushaisha na mambo yanaendelea je chadema kwa sasa wana sera gani ambayo hata leo mwenyekiti wao akitoka watatamba nayo kwenye mikutano ya hadhara?

Siasa siasani karibuni wanachadema mtujuze sisi ambao hatuna vyama
Ile Haikuwa sera ilikuwa Movement tu
 
Sisi wadau tunauliza hayo yote yakishakwisha chama letu litakuja na sera gani tutambie majukwaani na kwenye vijiwe baada ya NRNE kutrend na hatimae kufika kikomo
Uchawa ni kazi inayohitaji tu kujitoa ufahamu.

Umeshaambiwa chama hakiruhusiwi hata kufanya mikutano ya ndani bado umekomaa na sera gani sera gani. Hizo sera zinatungwa chumbani?
 
Kwahiyo tutegemee sera gani wakifunguliwa au ni Ile Ile NRNE
 
Swali ulitakiwa kujiuliza ni Je,reforms zimeshafanyika? Kama bado,kwanini CHADEMA waje na sera mpya,kama tayari nionyeshe hizo reforms.
 
Reforms hazikufanyika hivyo NRNE haikufanikiwa ni vyema tukajaribu mbinu nyingine ya kupata hizo reforms kama nilivyoshauri
 
Which means kamba NRNE inakuwa ni valid campaign hadi sasa kwa raia sababu bado inasema hakuna uchaguzi halali bila marekebisho ya katiba.
 
Inakuwa valid lakini haijazaa matunda wewe huoni ccm watapoteza maboya hadi 2030 bila kufanya reforms zozote na yakajirudia yaleyale

Miaka mitano ni mingi hapo kati sarakasi zitakuwa ni nyingi bila lolote la maana kama ilivyokuwa 2021-2025 kuna umuhimu wa kubadili sera na mbinu kulingana na muelekeo wa siasa zetu
 
Ulekeo ni NRNE kuelekea hiyo 2030. Why raia wabadili sera na hakuna reforms zimefanyika,na nani kasema NRNE imefeli?
 
Sawa ila kwa niijuavyo ccm uelekeo huo utazaa matunda sawa na ya uchaguzi uliyopita na hakutafanyika reforms zozote zaidi ya futuhi time will tell
 
Back
Top Bottom