Ni ipi sera ya CHADEMA kwa sasa baada ya No Reforms, No Election (NRNE)?

Ni ipi sera ya CHADEMA kwa sasa baada ya No Reforms, No Election (NRNE)?

Uchaguzi ushaisha na mambo yanaendelea je chadema kwa sasa wana sera gani ambayo hata leo mwenyekiti wao akitoka watatamba nayo kwenye mikutano ya hadhara?

Siasa siasani karibuni wanachadema mtujuze sisi ambao hatuna vyama
Kwa hiyo NRNE ilikuwa Sera? Foolish.
 
Uchaguzi ushaisha na mambo yanaendelea je chadema kwa sasa wana sera gani ambayo hata leo mwenyekiti wao akitoka watatamba nayo kwenye mikutano ya hadhara?

Siasa siasani karibuni wanachadema mtujuze sisi ambao hatuna vyama
saaahv ni kuchangisha pesa kwanza
 
Chama ni vikao, na kwa sasa shughuli za cdm zimesitishwa kwa maagizo ya jishangazi linalokaa madarakani kwa vifo. Mwanzo jishangazi lilipata madaraka baada ya kifo cha Magufuli, na sasa limetangazwa rais baada ya mauaji ya halaiki.
CDM wanafanya vikao vingi mnooo na vingine nje ya nchi kabisa Mkuu
 
Cdm Watapangaje mikakati Yao ya kuja na sera na mipango mipya wakati Ccm kupitia machawa wao na mahakama wamewapiga ban wasifanye shughuli yoyote ya Kisiasa/kichama/mikutano Wala vikao na viongozi wao wengi na wanachama wapo magerezani
 
Back
Top Bottom