Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,620
- 10,261
Leta takwimu zinazoeleweka nikuulize swali nipe source ya hizo takwimu ulizo-attach ugumu unatoka wapiBukoba ndo wilaya yenye asilimua kubwa ya watu wenye vipato mzee...
Hizo takwimu ni kutoka NBS...kagoogle kiwango cha umaskini ngazi ya wilaya...
Nyie mnapenda kuchukua mkoa mzima wa kageea wenye wilaya hata za biharamulo na ngara...chukua sehemu za wahaya pekee uone...
And you can prove this...tazama baadhi ya mitaa ya bukoba mjini.....wilaya yenye idadi ndogo ya maskini nchini...
View attachment 2696407View attachment 2696409View attachment 2696410View attachment 2696413View attachment 2696414View attachment 2696418View attachment 2696419View attachment 2696420
Bukoba mjini na bukoba vijijiniKwa si kuna Bukoba mbili?
Tafuta takwimu za kiwilaya huko NBS....ingia kwenye website yao....so takwimu zinazoeleweka ni zile zisizo taja Bukoba sio?Leta takwimu zinazoeleweka nikuulize swali nipe source ya hizo takwimu ulizo-attach ugumu unatoka wapi
Data za nbs zinasema mkoa wa kagera uko mkiani kwa per capita na mkoa wa kagera unajumuisha wilaya ya bukoba
Pia hizo per capita sio kipimo halisi cha umaskini...tofautisha umaskini na uchache wa kipato...soma hapa..Bukoba mjini na bukoba vijijini
Kwanin kwenye hizo takwimu zako kuna bukoba M namba moja na 11 huon kama ni za kupika
Ningetegemea kuwe na bukoba M na bukoba V
Kagera ndo mkoa maskin kuliko mikoa yote unashika mkia Kuna umaskin wa kutishaTafuta takwimu za kiwilaya huko NBS....ingia kwenye website yao....so takwimu zinazoeleweka ni zile zisizo taja Bukoba sio?
Hata hizo takwimu za mikoa waliestimate population ya kagera kuwa 3.4 million 2021 wakati takwimu halisi ni 2.9m...watu laki tano hewa...
Naona umeanza kuchanganyikiwa sawa....
Haya mkapake Rangi majumba yenu huko moshi
Hii ni moshi...check slums zilizojaa moshi mnapojisifia mmeendelea...mkawekeze moshi sasaView attachment 2696472
Kagera ndo mkoa maskin kuliko yote we endelea kutuma pichaPia hizo per capita sio kipimo halisi cha umaskini...tofautisha umaskini na uchache wa kipato...soma hapa..
Kipato kidogo si kigezo cha umaskini, UNDP yaibuka na kipimo kipya
Hii leo shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo duniani, UNDP limetoa ripoti yake kuhusu hali ya umaskini duniani ikiibuka na mbinu mpya ya kupima kiwango cha umaskini badala ya kutumia kiwango cha kipato anachopata mtu, kaya au taifa kwa sababu kila mtu anakumbwa na umaskini kwa njia...news.un.org
Acha kupaniki mkuu....use your brain...use facts...Kagera ndo mkoa maskin kuliko mikoa yote unashika mkia Tanzania miji yote ni squatters hakuna mipango miji
Mji wa moshi sasa...mfyu!...Watu wengi wanapenda kuwa wachagga ni basi tuu haiwezekani!
Imagine huu mji ndo wanajiita the most developed tz hii....Kagera ndo mkoa maskin kuliko yote we endelea kutuma picha
Tafuta takwimu za kiwilaya huko NBS....ingia kwenye website yao....so takwimu zinazoeleweka ni zile zisizo taja Bukoba sio?
Hata hizo takwimu za mikoa waliestimate population ya kagera kuwa 3.4 million 2021 wakati takwimu halisi ni 2.9m...watu laki tano hewa...
Naona umeanza kuchanganyikiwa sawa....
Haya mkapake Rangi majumba yenu huko moshi
Hii ni moshi...check slums zilizojaa moshi mnapojisifia mmeendelea...mkawekeze moshi sasaView attachment 2696472
Haufikii mkoa wa mwisho kwa kuwa na maskin wengi kagera yaan mmezidiwa mpaka na lindi, singida n.kImagine huu mji ndo wanajiita the most developed tz hii....
2023 moshi iko hiv na imechakaaView attachment 2696505
Asante kwa appreciations, Kuna watu wakiona comment Yako wanajisonyaMimi katika vitu nilikuwa siviwezi ni biashara na kuona fursa. Nikakutana na jamaa yangu mmoja kazini mchaga, aisee yule jamaa alibadilisha kabisa mtazamo wangu kimaisha na ndiye aliyeniingiza kwenye biashara for the first time. Pamoja na kuwa kazini kwa zaidi ya miaka 5 huyo jamaa tulianza biashara pamoja, joint venture, na kupitia hiyo biashara kwa mara ya kwanza niliweza kuwa na milioni 5 zangu mwenyewe kupitia hiyo biashara. Hawa jamaa acha kabisa..
Unajaribu kujifcha kwenye kichaka chá njuguKama ni hivyo basi wazaramo ndo jamii tajiri zaidi nchini....ikifuatiwa na wahehe...
Akili huna siku hiz...au mbege
WonderfulWachaga base on History nikizazi cha Malikia Wa Sheba kutoka Ethiopian ambapo Kuna vinasaba vya Waisrael
Kagera ni mkoa WA kwanza kwa umaskiniNa bukoba ndo wilaya yenye idadi ndogo maskini nchi...unasemaje na hapoView attachment 2696357
Muulize source na ni za liniWeka credible source ya hizo takwimu
Kwa hiyo bukoba (M) iko mara mbili namba moja na 11
Nipatie picha yoyote ya nyumba ya nyasi uchagan nitakupa million 4 bureHuyu Aliyeleta huu Uzi naona dish limeyumba! Kuna maendeleo gani huku Moshi? Wamesoma mkoa gani haujasoma? Wameendelea wakati Kuna nyumba za nyansi kama wengine! Wachaga ni kama free mason, hela zao ni za kuabudu mizimu, wizi, kubebana makazoni humu na dhuruma. Fuatilia sana ajira sasa hivi wanastukiwa sana.
Hataki kabisa kusikia habari za mkoa[emoji3][emoji3]Leta takwimu zinazoeleweka nikuulize swali nipe source ya hizo takwimu ulizo-attach ugumu unatoka wapi
Data za nbs zinasema mkoa wa kagera uko mkiani kwa per capita na mkoa wa kagera unajumuisha wilaya ya bukoba
Endelea kujifarijiAcha kupaniki mkuu....use your brain...use facts...
Na hii ndo tatizo lenu kuu wachaga...mkiona mnazidiwa au mkiambiwa ukweli mnapaniki....
Hakuna haja ya kupaniki hapa TZ bado ni least developed country...bado kuna kazi kubwa ya kufanya....