Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Kuwaga muelewa usiwe kama zuzu
Uko uchagan kuna maskin wapo wengi tu lakin jamii yao inaunafuu kuliko jamii nyingi za kitanzania
Huu ndo uzuzu sasa...
Leta facts, findings na proofs...sipendi porojo mimi...

Leta research zinazoprove haya maneno yako

Mnaweza jikuta ndo jamii maskini zaidi tz...inategemea category gan unatumia
 
Porojo zipo na wakati mkoa wa kilimanjaro wananchi wake wanakipato kikubwa na upo top three na huku kagera ukiwa miongoni mwa mikoa maskini kabisa au unataka proof ipi

Utoeni kwanza mkoa wenu wa kagera kwenye mikoa maskini zaid Tanzania
 
Attachments

  • A623926A-F060-4169-A046-E4F1FADB1AB6.jpeg
    A623926A-F060-4169-A046-E4F1FADB1AB6.jpeg
    115 KB · Views: 3
Porojo zipo na wakati mkoa wa kilimanjaro wananchi wake wanakipato kikubwa na upo top three na huku kagera ukiwa miongoni mwa mikoa maskini kabisa au unataka proof ipi

Utoeni kwanza mkoa wenu wa kagera kwenye mikoa maskini zaid Tanzania
Sasa hiyo repot wap inaonyesha wachaga ndo wana unafuu hapo mkuu?
Nasubiri research inayoonyesha wachaga ndo wana maendeleo zaidi Tz...wew unaniletea per capita ambayo wanagawa GDP kwa population...hata hapa Africa nchi kama Equatorial Guinea na Gabon zina per capita kubwa sana mara 7 ya Tanzania katazame sasa umaskini uliotukuka huko Gabon nk

Au unataka kusema wazaramo, wahehe nk walio top ndo wana ufadhali wa maisha?

Unaona sasa ulivyo kichaa? Kajengee ndugu zako vyoo sasa huko Rombo

Na bado nitawaumbua mkitaka...
Hii ni shule huko kijiji cha makomba old moshi Kilimanjaro....
Wazazi wapo wanajisifu matajiri wakati watoto wao wanasoma kwenye mazingira haya...
JamiiForums1602908713.jpg
JamiiForums86232869.jpg
JamiiForums-924884319.jpg
 
Sasa hiyo repot wap inaonyesha wachaga ndo wana unafuu hapo mkuu?
Nasubiri research inayoonyesha wachaga ndo wana maendeleo zaidi Tz...wew unaniletea per capita ambayo wanagawa GDP kwa population...hata hapa Africa nchi kama Equatorial Guinea na Gabon zina per capita kubwa sana mara 7 ya Tanzania katazame sasa umaskini uliotukuka huko Gabon nk

Au unataka kusema wazaramo, wahehe nk walio top ndo wana ufadhali wa maisha?

Unaona sasa ulivyo kichaa? Kajengee ndugu zako vyoo sasa huko Rombo

Na bado nitawaumbua mkitaka...
Hii ni shule huko kijiji cha makomba old moshi Kilimanjaro....
Wazazi wapo wanajisifu matajiri wakati watoto wao wanasoma kwenye mazingira haya...View attachment 2695869View attachment 2695870View attachment 2695871
We tafuta picha zote mbaya za mkoa wa kilimanjaro zipost huku usichoke na wala usiache

ila fahamu Kagera ni mkoa maskin kuliko mikoa yote Tanzania unashika mkia sihitaji picha kuprove hilo bali takwimu
 
Elimu! Elimu! Elimu!
Hii ndo siri kuu ya wachaga. Wakati uhuru unapatikana tayari wachaga walikuwa mbali sana kielimu. Shule za msingi na sekondari za kutosha. Kingine pia ni kujali mila na tamaduni zao. Kwa Afrika mashariki, kati na kusini hakuna kabila lenye maendeleo kuwazidi wachaga.

HAKUNA KABILA LILILO NA WASOMI WENGI KAMA WAHAYA

KATIKA POPULATION YA WAHAYA MORE THAN 87% WAMESOMA NGAZI ZA VYUO.

WACHAGA WANAIISHIA FORM 4 HALAFU WANAKOMAA NA BIASHARA.

HALAFU ACHA UONGO DOGO SAWA?
 
Hizo takwimu za wahaya kusoma kwa asilimia 87 umezitolea wapi ebu tuletee credible source
 
Kule mtoto wa mwenzio akifaulu mitihani jamii yote inafurahia,

Mtoto wa jirani akinunua gari au kujenga ni furaha kwa jamii nzima na fahari ya wote,

Lakini njoo huku kwingine uone ni kinyume chake [emoji108]

Tena unakuta hadi ndugu wa tumbo moja wanamroga ndugu yao [emoji24]
Si kukuroga tu kukuua kabisa.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Huu ndo uzuzu sasa...
Leta facts, findings na proofs...sipendi porojo mimi...

Leta research zinazoprove haya maneno yako

Mnaweza jikuta ndo jamii maskini zaidi tz...inategemea category gan unatumia
Research current HII hapa kutoka NBS
IMG-20230529-WA0003.jpg
 
Sasa Sina hela ila sio kuwa konda[emoji23][emoji23].

mwenye hela anajitetea mbona maboss wakubwa wanajulikana ni waarabu hapa bongo ndo wamashika uchumi[emoji23][emoji23].
Wewe wasema
Umjua mmiliki WA ngurdoto hotels ni nan?
Unamjua mmiliki WA eckenford tanga university ni nan?
Umjua mmiliki WA précision ? Ni Hao mabwana zako waarabu ?
 
Porojo zipo na wakati mkoa wa kilimanjaro wananchi wake wanakipato kikubwa na upo top three na huku kagera ukiwa miongoni mwa mikoa maskini kabisa au unataka proof ipi

Utoeni kwanza mkoa wenu wa kagera kwenye mikoa maskini zaid Tanzania
Huyu amechanganikiwa mkoa wake ni WA Kagera ni wa kwanza kwa ufukara Tanzanie
 
Back
Top Bottom