Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
ENEO PEKEE WALILOSHINDWA KUFANIKIWA, NI KWENYE NDOA.
NDOA ZAO HAZIDUMU KABISAA.
MAENEO MENGINE WAKO VIZURI
Trading for papuchi is’nt a problem.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ENEO PEKEE WALILOSHINDWA KUFANIKIWA, NI KWENYE NDOA.
NDOA ZAO HAZIDUMU KABISAA.
MAENEO MENGINE WAKO VIZURI
Umesahau pia ni WALEVI,,
99% ya wachaga ni WALEVI.
Umesahau pia ni WALEVI,,
99% ya wachaga ni WALEVI.
Mkuu hata ktk ndoa wapo vyema sana hawa watu!ENEO PEKEE WALILOSHINDWA KUFANIKIWA, NI KWENYE NDOA.
NDOA ZAO HAZIDUMU KABISAA.
MAENEO MENGINE WAKO VIZURI
Sisi wasukuma ni kupigana vipande kwa kwenda mbele
Acha kbs hyo kabila, nna mamdogo mnyantuzu, anko alimpata mkeka unasoma mamdogo 3:0 anko, amesomesha amejenga wameishi na kuishi kila anko akibet mtoto hata mmoja mkeka unasoma postponed had anko anakuja kustuka keshafika 52yo, ikabid akacheze friend match akapata katoto ka kiume, yule mamdogo alivyojua akaungana na wanae wakamtimua anko, ikabid anko ahamie kwa mama mtoto wake ndio kaanza maisha 1. Hebu fikiria mtoto wa mwisho wa mamdogo ana 23yo wa anko ana 4yo now...fikiria utabe wa wanyantuzu...Ningeongea, ila ntaishia kushambuliwa tu, swala la kutafuta liko maeneo mengi tu, hv mnawajua vizuri waNyabtuzu... Sukuma ya Simiyu?
we jau[emoji23]. mi wa kirua mahhn, mbna cio kwelMimi tungi sinywi ila naishi kizungu mkuu yaani sijibani kwenye matumizi muhimu niko na historia ya koo moja wanaitwa Chuwa ni wabahili sana Bibi mzaa baba alitoka huo ukoo unaambiwa alikuwa zamani anaficha pesa ndani mpaka zinatoa ukungu ule ukijani si unajua huku baridi.
Ikifika wakati wa jua kuwaka anatoa zile noti anaanika juani [emoji16][emoji16][emoji16] kwa ubahili ni mbahili kumbe koo yao nimekuja chunguza wapo hivyo yaani ni wachoyo pia wabinafsi sana wao wenyewe hawajipendi.
Wachagga wa mbokomu huko kirua, wachagga wa Uru wanaongoza kwa ubahili, alafu wamachame na wanarumu wafuate......
Ila wamarangu wengi ni wachagga smart ni siyo wabahili.
Wakibosho na warombo wanakunywa sana ila pesa zao huwa hawajui kuzitumia wise kama wamarangu, yaani wengi wao ni washamba wako na sifa fulani hivi kama kibosho wanashusha mjengo mkali ili wapate sifa.....ila hayo si maisha.
Unajisikiaje ukiitwa mlevi?Mlevi ni afadhali mara mia,
Mlevi anakunywa pombe kuifurahisha nafsi yake,
Mlevi hanaribu maisha ya mtu mwingine,
Mlevi hahusudu mafanikio ya mtu mwingine,
Mlevi hafanyi wengine kuumwa,
Mlevi haziii riziki za wengine,
Mlevi hana madhara kwa mwingine.
Ndiyo maana kwenye Maandiko Matakatifu mlevi hakugizwa kuuliwa kama ilivyoagizwa kwa Mchawi .
Ukienda vyuon waadhiri wengi ni wachaga, ukienda tra wamejaa, tanesco wamejaa kwenye vyuo wanafunzi wengi ni wao in short wapo kila sehemu alafu wanabahati na wana asili ya mikondo ya helaWasukuma gani?,wakinga gani? ,Waha gani? Kwa Tanzania hakuna kabila la watu matajiri kama wachaga ,na wachaga hawapo sehemu moja ukienda kila mkoa utawakuta
Mtoa uzi amesema tanzania ni nchi maskin ila kuna makabila yana-nafuu na wachaga ni mojawapoHebu kajengeni Matundu ya vyoo kwanza....
Mmeendelea mmeendelea wap? Wakati Tanzania nzima ni LDC...
Kazi kujisifia uongo hapa....View attachment 2695159
Kila jamii ina watu nafuu na choka mbaya...Mtoa uzi amesema tanzania ni nchi maskin ila kuna makabila yana-nafuu na wachaga ni mojawapo
Acha uongo tupo kariakoo na bado wachaga wapo juukwa dunia tunayoelekea, hayo mambo utayasikia tu kwenye historia. ndio maana hata ukienda kariakoo sasaivi, anayesifika ni mkinga na mbena, mchaga anatafutwa.
Kwani mimi nimesema unajua unashida flaniKila jamii ina watu nafuu na choka mbaya...
Mkuu Tanzania bado ni kundi la LDC....hakuna cha mchaga wala mnini sijui....
Hebu tembeeni muone nchi za watu....
Kwa tanzania wahindi ndo mabroker a.k.a wanunuaji wa madini wakubwa ndo wana-connection mpaka huko dubai au thailand ila sio wasukumaWewe na miguu yenu spoku mnamaajabu gani? Huyo Mengi si alishakufa? Nitajie huo mabilionea wa kichaga mwenye pesa!
Mengi mwenyewe walikuwa fisadi tu hana maajabu yeyote!
Wewe Una chuki na wasukuma lakini nikwambie tu kuna wasukuma wengi wanawazidi pesa nyingi mnawazidi kukosa makao na kuwa na vifua vikubwa!
Wewe Kariakoo upo Geita na Kahama upo pia! Hizo dhahabu wandindi wanzaipata wapi hujui mnyororo wa thamani au Kariakoo hapo mnatengeneza bidhaa?Kwa tanzania wahindi ndo mabroker a.k.a wanunuaji wa madini wakubwa ndo wana-connection mpaka huko dubai au thailand ila sio wasukuma