Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Wasukuma wana vinasaba vya kuridhika hao.. kuna stage wakifika wanaona washamaliza, huanza majigambo, sifa, matumizi ya hovyo ya pesa hadharani, kujimwambafai hadharani, n.k.

Ila funga kazi huwa nawaachia wahaya na wajita 😂😂

Lakini sio wavivu, ni wachapa kazi.
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Acha uongo vijiji vya kahama viko vizuri kuanzia Manzese,Masabi,Segese,kakola nk sema mnapenda sifa sana!
 
Mwanza,sengerema Wachaga kibao wapo n'a biashara za kati na kubwa
Arusha 80% matajiri ni Wachaga,dar usiseme,mbeya,iringa pia wapo
Lazima wawepo hata wasukuma wapo mpaka Arusha ,Manyara nk!
Hata Dar wasukuma ni wengi tu wanafanya biashara kwa hiyo hiyo siyo hoja! Ila kwa Mwanza anayeshika uchumi ni wasukuma na watu wa Mara wachaga wachache sana!
 
Kilimo ni kazi ya suluba hamna mtu anaeipenda na hta wanaolima wanalima basi tu kwakuwa wamebanana ila wakipata tobo sehemu nyingine huwa wanakimbia haraka sana

Kilimo kwa sasa bila trekta ni mateso sana.
 
Hapa nakubaliana na wewe honestly kabisa @ Mnyalukolo.

Lakini hawa jamaa wana kaafadhali kidogo.

Na kikubwa ni kutokutawaliwa na uchawi na ushirikina kwenye jamii zao hao Wachaga.

Na wanafanya kazi sana.
Wachaga gani hao wanaofanya kazi sana?
Labda ulienda moshi miaka ya 70, wachaga wa wakati huo ndiyo kweli walikuwa wanafanya kazi sana.
Leo hii, moshi wamebaki wazee tu na idadi ndogo ya vijana ambao hawajielewi na wamepigika kweli kweli. Kazi yao kubwa ni kunywa gongo na banana wine basi.
 
Ni kama kusema Eti wakinga wanafanikiwa kwenye biashara sababu ya uchawi na ushirikina! [emoji848]

Binafsi siamini hayo madai.

Naamini wanafanya kazi na nidhamu ya hali ya juu.

Foregoing today a little bit enjoying tomorrow much.

A simple principle [emoji108]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…