Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Wasukuma wanafanya kazi sana lakini wanangushwa na uchawi na ushirikina kwa sana.

Unakuta mwenzao anapambana anaimarika
Kiuchumi lakini wanamroga wanamharibia kazi anajikuta jobless,

Na unakuta wanamfanyia hivyo ni ndugu wa damu.

Wasukuma kwenye kufanya kazi ni Habari nyingine na hii ni tangu Historia enzi za mababu na mabibi.

Na imekuwa ikienda hivyo kizazi hata kizazi.

Lakini sasa hivi mnavyo oa makabila huenda ikapotea hiyo spirits ya kupenda kufanya kazi kama punda.

Unaoa mswahili watoto anawaambukiza spirit ya uvivu na kuridhika kwa Kibaba cha unga !

Vinginevyo baba uwe Karibu sana na wanao Na kuhakikisha mindsets zao kwa Habari ya kupenda kufanya kazi ngumu inabaki kuwa hivyo siku zote Na kuwarithisha vizazi vyao.
Wasukuma wana vinasaba vya kuridhika hao.. kuna stage wakifika wanaona washamaliza, huanza majigambo, sifa, matumizi ya hovyo ya pesa hadharani, kujimwambafai hadharani, n.k.

Ila funga kazi huwa nawaachia wahaya na wajita 😂😂

Lakini sio wavivu, ni wachapa kazi.
 
WAKATI WEWE UNAWAZA MTU WA KUSAIDIANA NAYE MAISHA.
MWENZIO ANAWAZA KIPATO CHAKE NI CHAKE YEYE, YEYE TU.

MALEZI NA MAKUZI YAO YAWE WAANDA KUWA WANAUME WA KIKE.
HAO HAWANA HAIBA ZA KIKE, HUWEZI KUTA WANAONGEA KWA UPOLE, UNYENYEKEVU, UTII, KUJISHUSHA.
ZAIDI NI WATU WA MASHINDANO, KUPENDA KUTAWALA (HASA KAMA MUME SIO WA KABILA YAO), KIBURI, JEURI, DHARAU, UBABE UBABE.
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kahama ina mãendeleo hapo mjini tu,ukitoka kilometa mbili unakutana na vijumba vya nyasi,Sisi hatuangalii mjini tunaangalia makazi halisi na maisha ya Kila siku ya MTU
NBS wanatuambia Kilimanjaro ni ya 3 WANANCHI wake(mmoja mmoja) kuwa na kipato kikubwa MBna shinyamga haipo?
Acha uongo vijiji vya kahama viko vizuri kuanzia Manzese,Masabi,Segese,kakola nk sema mnapenda sifa sana!
 
Mwanza,sengerema Wachaga kibao wapo n'a biashara za kati na kubwa
Arusha 80% matajiri ni Wachaga,dar usiseme,mbeya,iringa pia wapo
Lazima wawepo hata wasukuma wapo mpaka Arusha ,Manyara nk!
Hata Dar wasukuma ni wengi tu wanafanya biashara kwa hiyo hiyo siyo hoja! Ila kwa Mwanza anayeshika uchumi ni wasukuma na watu wa Mara wachaga wachache sana!
 
Mhindi wakati wa rikizo watoto wote wanaenda dukani Kwa baba ,

Wanakuwa field,

Wanaanza kuwa mentored tangu wakiwa wadogo wanaanza kupenda na kujifunza kufanya biashara,

Imagine!

Sisi waswahili hata shamba watoto wetu hawataki kwenda [emoji848][emoji848]

Wanataka washinde kijijini wale na wengine kuwa kwenye magenge ya wahuni kulewa Na kuvuta bange.

Hawataki kwenda kushinda shamba kulima,

Wengine ndio kila mtu anataka kuendesha bodaboda.

Sasa watakuwa wanaume wa aina gani hawataki kulima vijijini?

Na wazazi wa siku hizi wanawaendekeza, zamani kama hutaki kwenda shamba kulima na chakula hutapewa.

Wazazi walikuwa wanatimiza Maandiko asiyefanya kazi Na asile .
Kilimo ni kazi ya suluba hamna mtu anaeipenda na hta wanaolima wanalima basi tu kwakuwa wamebanana ila wakipata tobo sehemu nyingine huwa wanakimbia haraka sana

Kilimo kwa sasa bila trekta ni mateso sana.
 
Hapa nakubaliana na wewe honestly kabisa @ Mnyalukolo.

Lakini hawa jamaa wana kaafadhali kidogo.

Na kikubwa ni kutokutawaliwa na uchawi na ushirikina kwenye jamii zao hao Wachaga.

Na wanafanya kazi sana.
Wachaga gani hao wanaofanya kazi sana?
Labda ulienda moshi miaka ya 70, wachaga wa wakati huo ndiyo kweli walikuwa wanafanya kazi sana.
Leo hii, moshi wamebaki wazee tu na idadi ndogo ya vijana ambao hawajielewi na wamepigika kweli kweli. Kazi yao kubwa ni kunywa gongo na banana wine basi.
 
Ni kama kusema Eti wakinga wanafanikiwa kwenye biashara sababu ya uchawi na ushirikina! [emoji848]

Binafsi siamini hayo madai.

Naamini wanafanya kazi na nidhamu ya hali ya juu.

Foregoing today a little bit enjoying tomorrow much.

A simple principle [emoji108]
 
Back
Top Bottom