luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Pole sana wivu utakuua bangaloo unaliita kibanda? Je vile vijumba vya nyasi kule kwenu nachingwea tuviiteje?Wewe Makiadi hivyo vibanda na barabara chafu sio maendeleo, ni dalili ya umaskini tuu
Hyo ni rasharasha tuHayo ndo majumba ya kifahari?!
Hahahaha eti unyamwezini, usukumani hahahaha maeneo hayo nayajua vizuri mno,vijiji vya huko vijumba vya slop,nyasi ndivyo vimetawala na maji ni shida kbwá watu Wana share Maji na ngombe kwemye malamboUnyamwezini,usukumani vijijini huko mbona zipo hata zaidi ya hizo,yaani tuuze tumbaku,mahindi na mchele tushindwe kujenga vijumba vya hivyo!?..sisi hatufanyi kazi za kuingiza vishilingishilingi,tukiuza tunapata mlima,tunajenga nyumba za kisasa na gesti juu,nyinyi kazi zenu za kudunduliza ndo unaona nyumba Kama hiyo ni mbali
Nyie kwenye makaazi Bado ni wanafunzi wetu but at least mnajitahidiKijiji cha kagoma wilaya ya Muleba .... Bukoba vijijini....vijiji vya wahaya hivi
Mkatembee aisee....bado mna ushamba Fulani hiv..View attachment 2698912View attachment 2698914View attachment 2698916View attachment 2698917
Inasaidia wanaofanya utafitiHii mada sio ipo hovyo
Wanatuzidi labda kupanda fisi tuKuwazidi wasukuma?
Hiyo ni kanuni ya Dunia nzimaWew Baki na vitakwimu vyako vya wauza bandari...Kwanza sio wa Mwisho kimaendeleo Bali katika Per capita...tofautisha Hilo...tz tunazidiwa per capita na benin, Guinea, equatorial Guinea lakin maendeleo tz iko mbali sana kulinganisha na nchi hizo.....
Siku zote kipimo cha per capita hufavor sehemu yenye population ndogo...Lindi Tu inaizidi Arusha, mwanza NK kwa per capita lakin tazama maendeleo sasa...
Alikiri lini?Yule mtakwimu mkuu alishakiri..waliongeza watu laki tano hewa kwa mkoa wa Kagera...2021 Kagera waliestmate watu 3.4million...lakin Sensa ya 2022 inasema 2.9...
Wivu,kwani wewe huna Kabila ?Yani Karne hii unajisifia kabila, mbona mnakua na mishe za kishamba sana nyie wachaga wa kishumundu.
Mkibosho niko hapa shule yetu sio sana, ila wengi ni wauza nguo na viatu.....saivi tunafanya kila kitu.WACHAGGA WOTE WANASIFIWA MAENDELEO KWA AJILI YA WAROMBO NA WAKIBOSHO HAO NDIO MATAJIRI WENYE KUSHIKA HII JAMHURI.MIMI NI MCHAGGA HIVYO NITAKACHOKISEMA NAKIFAHAMU.kuna wachagga wa vunjo mwika marangu-kilema,kirua old moshi uru na machame.hawa ni white colour ni wamangi wanasema hawawezi kufanya kazi za ovyo kama kupika na kuchoma nyama kwenye mabaa little did they know kuwa huko ndipo kwenye pesa.wamewaachia warombo na wakibosho ambao hawachagui kazi na ndio wachagga matajiri
Hii chat na bar sijui haipo realistic hata kidogo yaani ni worse estimates wala usirely sana.....nikisema mnyaturu kampita mgogo kwa kipato kwa mtu mmoja mmoja mtakataa japo wote wapo central zone.Choo ni Siku Moja tu
Nyie Kagera pambaneni na hii absolutely poverty View attachment 2695542
Unazungumzia mwaka gani!?..mradi wa maji ziwa Viktoria ulikamilika mkoa wa tabora 2019Hahahaha eti unyamwezini, usukumani hahahaha maeneo hayo nayajua vizuri mno,vijiji vya huko vijumba vya slop,nyasi ndivyo vimetawala na maji ni shida kbwá watu Wana share Maji na ngombe kwemye malambo
HahahahWale mazezeta wa kishimundu na kirema si ni wachagga hao ? Moshi hoi sana. Ni overrated
Wanaonufaika ni wale WA maeneo yaliyopitiwa na mradi tu Wala sio Ktk eneo loteUnazungumzia mwaka gani!?..mradi wa maji ziwa Viktoria ulikamilika mkoa wa tabora 2019
Na Ile misukule na mafisi kule usukumani vipi?Wale mazezeta wa kishimundu na kirema si ni wachagga hao ? Moshi hoi sana. Ni overrated
Endelea kujifariji na mafisi Yako huko itilimaHakuna tajiri mchagga wa maana Mwanza
Matajiri Mwanza ni wasukuma na wakurya
Kule kwenu geita mnakotembea kilometa 200+ kwenda wilayani vipi?Mbona machache sana
Uchagan hakuna nÿumba ya nyasi hâta MojaHivi Dar kuna makazi bora ? Hauko seriuos
Hâta marekan watu kama Hao wapoHawa hawa wachanga Wanaoshinda Na Mibuti na Mishati Mikubwa,Kuongea Sana Lugha za kihuni,kuchekesha au Kuna Wengine wa Machame