Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Hao jamaa wana bidii ya kazi hakuna mfano. Kitu chochote kinachoingiza hela anafanya, na anaweza fanya hata masaa 20 kwa siku (kama wajapani). Mpe hata jiko la mishikaki tu uone bidii yake. Kitu kingine wana nidhamu ya fedha kupitiliza. Pia hawapendi kumtegemea mtu, kila mtu anataka asimame mwenyewe. Huwezi kwenda kwa ndugu yako mchaga ukawa unakaa kaa tu eti unacheki ramani! Lazima uwe specific umeenda kufanya nini na utakaa muda gani. Mchaga akimuunganishia ndugu yake kazi, anaenda kufanya kazi kweli; ha-relax eti kwa sababu kazi kaunganishiwa na ndugu yake ambaye ni boss hapo. Kwa kifupi hawaangushani wao kwa wao.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
BORA mwizi kwa sababu WAKATI MWINGINE unaweza kumkwepa. After all wizi pia ni akili. MTU asiye na akili, hawezi hata kuiba.
Wizi ni jinai na immoral at the same time. Kamwe usiipigie chapuo jinai, hususan mbele ya kadamnasi.
 
Wazanaki wapo juu, nafasi yenu bado ipo katika historia ya nchi hii, Nyerere aliweka taifa mbele na sio watu wake, hata watoto wake hakuwapa upendeleo

wazanaki wengi wana hali za kawaida tu na hapa ndipo tunaamini Nyerere hakuwa na upendeleo.
Una miaka mingapi mkuu? Ili tuone namna ya kuli adress hili ili nchi nzima iwe kama uchagani(1st or 2nd world economy).

Kwa kuwa unagusa mambo ya kijamii, vipi taaluma yako upo katika mambo ya sosholojia, maendeleo ya jamii au uchumi?

Na je umeisoma vizuri historia ya hii nchi na ziada zake? Unajua maeneo ambayo the late president alikuwa anapata resistance kubwa kabla ya vyama vingi?

Vyama vingi au upinzani mpaka leo kwa kiasi kikubwa ni formation tu ya CCM kuridhisha jumuiya ya kimataifa. Hawakuwa tayari kwa hilo, na mpaka sasa hawajawa tayari.

Hizi mambo kama uchawi n.k ni vitu vyepesi sana vipo katika kila jamii,impact yake katika kukwamisha au kuleta maendeleo ni NDOGO sana.
 
Kutokuwepo kwa uchawi uchagani kumewasaidia sana.

Uchawi ni laana kubwa sana.

Na ubaya wa dhambi ya uchawi kurithishwa kizazi hata kizazi .
We bwana wee hili la uchawi ni mambo binafsi na ya familia, hapo unaongelea familia yako mkuu, ndio haifanyi hivyo.

Uchawi ni neno pana, unaweza fanya tambiko la mizimu lakini likaitwa uchawi kwa mtazamo wa wengine. Wachaga hawana wazee wa kimila au kusimamia mila?

Maendeleo ya jamii yana factors zake, ilitakiwa mfafanue kwa kuangalia hizo factors kisha uangalie mikoa mingine kwanini hawajafanikiwa kwa kiwango cha level ya "uchaga" na sio Kilimanjaro😊.
 
Wizi na wakwepa Kodi
 
Wauaji , wachukuaji wa nyota,wanaroho mbaya , washirikina in advance, yaani kama mzungu anamkimbia si ninoma ,yaani kuuana wao kwa wao kawaida sana jingine matambiko ,sio wanauwa ndugu zao tu wanaua hadi watu waliowazunguka,hawana utu ni majangili,makatili ,yaani hapa tunaishi nao tumeshachoka hawami wanapenda kutumia wenzao kwa faida zao
 
tungeuliza na wakinga kwanza kabla hatujaenda kwa wachaga.
 
Hakuna mafanikio ya kabila mangi, mafanikio ni suala la mtu binafsi.
 
waheshimiwe kwa kweli, ni wapambanaji sana
 
wana ardhi nzuri iliyovuta wazungu wamissionary wakawekeza hapo, ikawasaidia pia kulima kahawa
 
Uzi una facts pia zimechanganyika na pumba ndani yake. hili gepu la wachaga na makabila mengine ni sawa na gepu la afrika na ulaya au kenya na Tanzania. HISTORICAL MATTER
 
Uzi una facts pia zimechanganyika na pumba ndani yake. hili gepu la wachaga na makabila mengine ni sawa na gepu la afrika na ulaya au kenya na Tanzania. HISTORICAL MATTER
Daah, very deep!!
 
Uzi una facts pia zimechanganyika na pumba ndani yake. hili gepu la wachaga na makabila mengine ni sawa na gepu la afrika na ulaya au kenya na Tanzania. HISTORICAL MATTER
Endelea kujidanganya! Huko Moshi kuna maajabu gani? Mbona Wachaga tuko nao mtaani ni choka mbaya tu! Wenye mafanikio wapo hasa wale wazee wao wa zamani ila hawa wachaga wa sasa mimi nakukatalia!
Jamii nyingi sana zinafanikiwa katika sekta za biashara kama unavoweza kuona Wakinga,Waha,Wasukuma,Wakurya nk!
Kubaki na idea ya miaka ya 90 mimi natakaa maana unaposema gepu kubwa katika sekta gani? Maana hata vyuoni makabila yote yapo,kwenye biashara makabla mengine pia yanafanya vizuri,Madini , Kilimo kote huko Makabila yote yanafanya vizuri kwa level ya nchi yetu!
 
nimesoma kozi wachanga walikuwa more than 60 na kozi yetu ilikuwa na watu 79 tu
 
nimesoma kozi wachanga walikuwa more than 60 na kozi yetu ilikuwa na watu 79 tu
Kaka unapozungumzia mafanikio sio ajira tu! Kuna watu wako Mbeya huko wanafanya kilimo wanavuna magunia mengi sana na wengine wapo wanafanya uchimbaji wa madini Kahama huko wanapata mabilioni ya fedha ila wewe umekalia kuangalia upande wa elimu pekeyake!
Mafaniko ya wachaga yapo ila mimi kwa kuangalia naona mafaniko yao yanafanana na watu wengine ndo maana Karaikoo hapo utakutana na Wapemba,Wakinga,Waha,Wasukukuma nk!
Kwanza hakuna ajira ambayo utakutana na ratio hiyo ya watu wanaofanya interview ni pororjo za jamii forum tu! Labda kama ilifanyika kishumundu na inahusisha vibarua wa kulima shamabani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…