Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

hivi ninyi mnaojifanya kugawa mabando, huwa mnamiliki mitandao ya simu? wafanyakazi wa mitandao hiyo? mawakala wa mitandao hiyo? au nini? hebu fungukeni tuwajue.
 
Wachaga Tangu kale ni watu smart
Hapa ni Mangi mkuu mareale akiongoza Baraza kuu la Wachaga 1957
Pia Wachaga ni jamii ya kwanza kumiliki gazeti miaka ya 30's
 
Which country is this?
Ukabila ukabila na kutafuta sifa za kikuda.
Karne hii ukabila maendeleo tutayasikia nchi zingine.
 
Mkuu unategemea kuna siku ccm wanaweza mchagua mchaga kuwa mgombea Urais?
Sio Salama Sana Makabila Yenye influence na Power ku lead Nchi Mkuu, Rais anatakiwa atoke kwenye Makabila ya Chini Minority kama Nche kule Umakondeni, Mzee wa Msoga Chalinze, Mwinyi na Mchonga Uzanaki Kule Kutoa Rais kwenye Makabila Majority kama Wachaga, Wanyakyusa au Wahaya au Wasukuma Ni Kutengeneza Mpasuko na Kutadhoofisha sana Utaifa Kwasababu watu hao tena wana Kam empire fulani watajazana Kwenye Key position italeta shida, Siumeona utawala wa Magu ulivyosumbua mambo ya Ukanda na Key Position kuchukuliwa na Wasukuma ila leo Ukimpa urais mkwere au Msambaa Serikali yaje atajenga na Makundi yote ivo itaimalisha Utaifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…