Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

Ila kusema kweli japo wahaya wana majivuno ila hata nyingi wachaga mnayo pia! Lakini kwenu pako kawaida tu hamna mji au wilaya yenye maendeleo kama Kahama ila ndo mnaongoza kujigamba humu!
Lakini kwa sasa Makabila kibao wanafedha na maendeleo haya ya kibongo!
Maana kwa maendeleo yaliyoko kilimanjaro hayana maajabu hata Njombe unayakuta!
Kiufupi Tanzania bado ni maskini bila kujarisha mkoa gani maana hata Dar tinayosema inamaendeleo watu wanaishi maisha ya hovyo kabisa!
Unadefine vip maendeleo nikusaidie maendeleo sio magorofa ni uwepo wa huduma za kijamii
Kama watu kuwa access ya maji moshi tokea 80's huko watu tunatumia maji ya bomba mfano ni nadra sana kumkuta mtu ana tank la simtank la nini nawakati maji yapo kila siku
hospitali,
Shule mfano mim tokea miaka ya 90's tunakula shule
Barabara mfano moshi kuna barabara za lami hadi huko vijijini hadi huko miliman upareni kuna lami,
umeme ulishakuja tokea miaka ya 1970's huku sehemu nyingine wakipelekew a umeme wa rea

Hayo ndo maendelea na sio magorofa
 
Hapa nakubaliana na wewe honestly kabisa @ Mnyalukolo.

Lakini hawa jamaa wana kaafadhali kidogo.

Na kikubwa ni kutokutawaliwa na uchawi na ushirikina kwenye jamii zao hao Wachaga.

Na wanafanya kazi sana.
 
Afadhari ipo kwa sehemu ndogo! Lakini kusema kuwa Makabila mengine hawako na maendeleo na hawajui mambo ya FEDHA ni kujilisha upepo!
Pia mambo yanabadilika sana jamii nyingi zimebadilika sana!
Saizi mfano hata Wakurya wanaupiga mwingi sana kwenye biashara!
Ukifika Mwanza ndo utajua hawa jamaa nguvu yao!
Kwa ujumla kadri elimu inavyozidi kuwa kubwa na mwamko wa jamii unaongezeka sana maendeleo hayatabki kwanu tu yatatamaraki kila kona!
 
Wasukuma wanafanya kazi sana lakini wanangushwa na uchawi na ushirikina kwa sana.

Unakuta mwenzao anapambana anaimarika
Kiuchumi lakini wanamroga wanamharibia kazi anajikuta jobless,

Na unakuta wanamfanyia hivyo ni ndugu wa damu.

Wasukuma kwenye kufanya kazi ni Habari nyingine na hii ni tangu Historia enzi za mababu na mabibi.

Na imekuwa ikienda hivyo kizazi hata kizazi.

Lakini sasa hivi mnavyo oa makabila huenda ikapotea hiyo spirits ya kupenda kufanya kazi kama punda.

Unaoa mswahili watoto anawaambukiza spirit ya uvivu na kuridhika kwa Kibaba cha unga !

Vinginevyo baba uwe Karibu sana na wanao Na kuhakikisha mindsets zao kwa Habari ya kupenda kufanya kazi ngumu inabaki kuwa hivyo siku zote Na kuwarithisha vizazi vyao.
 
Unaoa mswahili watoto anawaambikiza spirit ya uvivu Na kuridhika kwa Kibaba cha unga !

Vinginevyo baba uwe Karibu sana na wanao Na kuhakikisha mindsets zao kwa Habari ya kupenda kufanya kazi ngumu inabaki kuwa hivyo siku zote Na kuwarithisha vizazi vyao.
Ushirikina upo ni sikatai ila kusema kuwa wameegemea sana huko hapana!
Miaka sasa ile hali ya kuogopa kujenga nyumba atarogwa Hapo tena hata wewe ukienda saizi usukuma utaona nyumba nzuri za kisasa zipo na zinakengwa!
Upande wa kufanya kazi inafahamika wasukuma wanapenda kufanya kazi za kilimo na ufugaji lakini hali sasa imebadilika sana wasukukuma pia wanafanya sana biashara mbali mbali!
 
Hali ya uchawi na ushirikina bado ipo kwenye jamii mikoa mingi sio usukumani tu,

Usukumani nimetoa mfano sababu nao wanafanya kazi sana,

Hapo Tanga tu jirani na hao wachaga Kuna watu bado hawathubu kujenga kwao wala kwenda na Gari ,

Hii ni seriously kabisa,

Nani anataka kuwa target ya wachawi ktk kuangushwa au kizimishwa mazima?

Hata hivyo hatuwezi wote kufanya biashara tu kama shughuli ya kiuchumi,

Lazima kuwe na mgawanyo wa majukumu wengine wawe wafugaji, wengine walime, wengine watumishi n.k.

Pia Kuna kulima kwa biashara.
 
Wachawi wakijua mwanao ananeema kiuchumi watakuroga wewe mzazi na huyo mwanao [emoji108]

Mzazi utapewa magonjwa uugueeee weeee kila mwanao akikurushia hela unaenda kununua dawa unywe ujitibie badala ya kwenda kununua nyama au samaki au maziwa ule ,

Fikiria wachawi walivyo wabaya .

Na mtoto wako asipoangalia wanamharibia kazi na kumdhuru.
 
Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, Tukigusia makabila yenye asili ya hapa kwetu, jamaa wapo mbali mno.

Kunaweza kuwa na makabila yanayowafatia ila ni gepu refu mno.

1.Elimu: Hawa watu wamesoma sana na shule zipo huko kwao tangu zamani sana, sehem zao kuna shule nyingi sana, hapa wenzao ni wahaya lakini tatizo wahaya wana shule chache sana huko kwao na sehemu waliyosifika ni kwenye elimu tu.

Biashara - Ni kama kipaji chao cha asili hata kwa ambao wameishia darasa la 7 wapo wanaofanya makubwa, ukija kwa wasomi nako wamejaa wamefungua makampuni, najua kuna wanaofatia wapo wakinga, waha, wasukuma, n.k ila wameachwa mbali sana.

siasa - ukiachana na ccm hawa ndio waasisi wakubwa wa vyama vingi maarufu vya upinzani kuanzia tlp, nccr, chadema, vyote vina asili ya wachaga,

kuendeleza na kujenga kwao hawana mpinzani, nimeona makabila mengine wengine wanajaribu jaribu wanajenga nyumba za kisasa huko vijijini kwao ila unakuta kijiji kizima nyumba hizo zinahesabika,

Kwenye system na political positions hawajajaa sana
ila kila ofisi wamejaa, mashirika ya uma na kimataifa wapo.

kuridhika kwa wachaga ni ngumu sana, mtu alieridhika mara nyingi huonyesha majigambo na sifa, kuna baadhi ya watu wakipata hela basi wataanza laki si pesa, ist gari za watoto, n.k kwa wachaga mtu anaweza kuwa na pesa kibao ila bado ana nidhamu ya pesa laki 1 anaipangia bajeti, ataendesha hata passo ilimradi ajenge kwao nyumba nzuri, n.k.

Ni nadra sana kusikia mambo ya uchawi uchagani kwamba flani kamtupia jini jirani kisa mtoto wake kapata kazi, kurogana kisa ndugu kapiga hatua, n.k. uchawi ni adui mkubwa sana wa maendeleo na kwa kiasi kikubwa wamejitahidi kuukwepa, just imagine nina rafiki yangu wa huko Geita vijijini alitaka kuwajengea wazazi nyumba ya kisasa, watakataa, mwengine rafiki wa Njombe aliniambia huko kijijini kwao hata kuweka bati ni ishu nzito kwasababu majirani wanaweza kuchukia maendeleo wanaroga.

Wanaheshimu mila na desturi zao: kifupi wanajua wapi wametoka na wapi wanaenda, wachaga ikifika december kuna mtu asiejua balaa lao ? huwa ni kama waisrael wa sehem mbali mbali wanarudi kwao, hii pia inafanyika na kabila lililofanikiwa zaidi Nigeria waigbo hurudi kwao kila mwisho wa mwaka.
..........................

Kwa wengi unaweza kukuta kwenye elimu wapo ila kwengine zero

wengine unaweza kuta wanajitahidi biashara ila huko kwao hakutamaniki na elim bado sana

n.k.
Wachaga wamefanikiwa kwa sababu ya wizi na siyo elimu, biashara wala nini.
 
Siku hiz wachaga ndo mna sifa za kijinga...ushawahi ona mhaya anaanzisha uzi kujisifia sijui wameendelea..sijui wameyaacha mbali makabila mengine...

Humu si zimejaa nyuzi za wachaga tu...mara sisi hatuna uchawi..mara sisi sijui tukoje...

Huu ni ushamba tu kwan Tanzania bado ni maskini mzr tu....tuna safari ndefu sana...

Hebu tengenezeni hata moshi yenu ifikiie mji huu wa musanze kule Rwanda...vinginevyo no difference kati ya bukoba na moshi...mnaitaji kuwekeza sana kwenu...View attachment 2696836View attachment 2696838
Unafahamu kwa mujibu WA takwimu Kilimanjaro ni mkoa WA kwanza kwa makazi bora na miundombnu toshelezi Vijijin kwa 90%?
 
Ila kusema kweli japo wahaya wana majivuno ila hata nyingi wachaga mnayo pia! Lakini kwenu pako kawaida tu hamna mji au wilaya yenye maendeleo kama Kahama ila ndo mnaongoza kujigamba humu!
Lakini kwa sasa Makabila kibao wanafedha na maendeleo haya ya kibongo!
Maana kwa maendeleo yaliyoko kilimanjaro hayana maajabu hata Njombe unayakuta!
Kiufupi Tanzania bado ni maskini bila kujarisha mkoa gani maana hata Dar tinayosema inamaendeleo watu wanaishi maisha ya hovyo kabisa!
Kahama ina mãendeleo hapo mjini tu,ukitoka kilometa mbili unakutana na vijumba vya nyasi,Sisi hatuangalii mjini tunaangalia makazi halisi na maisha ya Kila siku ya MTU
NBS wanatuambia Kilimanjaro ni ya 3 WANANCHI wake(mmoja mmoja) kuwa na kipato kikubwa MBna shinyamga haipo?
 
Unadefine vip maendeleo nikusaidie maendeleo sio magorofa ni uwepo wa huduma za kijamii
Kama watu kuwa access ya maji moshi tokea 80's huko watu tunatumia maji ya bomba mfano ni nadra sana kumkuta mtu ana tank la simtank la nini nawakati maji yapo kila siku
hospitali,
Shule mfano mim tokea miaka ya 90's tunakula shule
Barabara mfano moshi kuna barabara za lami hadi huko vijijini hadi huko miliman upareni kuna lami,
umeme ulishakuja tokea miaka ya 1970's huku sehemu nyingine wakipelekew a umeme wa rea

Hayo ndo maendelea na sio magorofa
MPE Elimu anadhani mãendeleo ni kushangaa mji
 
Afadhari ipo kwa sehemu ndogo! Lakini kusema kuwa Makabila mengine hawako na maendeleo na hawajui mambo ya FEDHA ni kujilisha upepo!
Pia mambo yanabadilika sana jamii nyingi zimebadilika sana!
Saizi mfano hata Wakurya wanaupiga mwingi sana kwenye biashara!
Ukifika Mwanza ndo utajua hawa jamaa nguvu yao!
Kwa ujumla kadri elimu inavyozidi kuwa kubwa na mwamko wa jamii unaongezeka sana maendeleo hayatabki kwanu tu yatatamaraki kila kona!
Mwanza,sengerema Wachaga kibao wapo n'a biashara za kati na kubwa
Arusha 80% matajiri ni Wachaga,dar usiseme,mbeya,iringa pia wapo
 
Wasukuma wanafanya kazi sana lakini wanangushwa na uchawi na ushirikina kwa sana.

Unakuta mwenzao anapambana anaimarika
Kiuchumi lakini wanamroga wanamharibia kazi anajikuta jobless,

Na unakuta wanamfanyia hivyo ni ndugu wa damu.

Wasukuma kwenye kufanya kazi ni Habari nyingine na hii ni tangu Historia enzi za mababu na mabibi.

Na imekuwa ikienda hivyo kizazi hata kizazi.

Lakini sasa hivi mnavyo oa makabila huenda ikapotea hiyo spirits ya kupenda kufanya kazi kama punda.

Unaoa mswahili watoto anawaambukiza spirit ya uvivu na kuridhika kwa Kibaba cha unga !

Vinginevyo baba uwe Karibu sana na wanao Na kuhakikisha mindsets zao kwa Habari ya kupenda kufanya kazi ngumu inabaki kuwa hivyo siku zote Na kuwarithisha vizazi vyao.
Wanapanda mafisi
 
Wachaga ni lile kabila kati ya 12 la Israel lililopotea (Lost tribe of Israel).

Kwa kifupi wachaga ni wayahudi wa Africa.

Tafiti za DNA zimethibisha kabisa.
Wachaga ni Wayahudi au wezi wa Afrika? Wayahudi wanatumia bongo kujiletea maendeleo ila, nyie, wachaga mnatumia silaha
 
Wachaga wako kama wahindi, wanaharibu watoto wao, utakuta mmoja dishi limeyumba huwezi kumjua kirahisi...

Huyo ndio anawapa utajiri...

Kingine ni watu wa kafara za damu za wanyama kwa wafu/mizimu...
Kwa Kweli mm siyo mchaga ila kuhusu kiwaaribu watot wao Hilo hpn wakinga ndio Wana tabia hyo ila Hawa viumbe Ni wezi wazuri mno na ni watoaji wa sadak makanisani snaa nilikuwa nazali hapo kkkt korongwe Hilo kanisa asilimi 90 Ni wachaga jaamaa kila jpili sadak na Zaid ya milioni sitini

Siri nakuibiaa penda sna kutoa sadaka dad donatila sijasema sadaka za damu sadaka ktk nyumba za ibada ,toa vzr Tena kwa amani utaona mapokeo tu
 
siri iko hapa,

wajerumani walitawala maeneo ya kilimanjaro mapema sana kuanzia 1885, hivyo wachaga walikua ni moja kati ya makabila ya kwanza kabisa kuchangamana na watu weupe tanzania bara....

shughuli la kiuchumi na ile elimu ya kikoloni kwa wale wachaga wa tabaka la juu ndo ikapelekea wao kujanjaruka haraka kuliko makabila mengine....
Mtasema yote ila wachanga wako juu na watazidi kuwa juu Zaid

Imaging rais awe mchaga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom