Mimi si mchaga ila we jamaa una denial spirit. Dalili za denial "makataa" ni pamoja na
- Hukubali kuzungumzia tatizo.
- Unatafuta njia za kuithibitisha tabia yako hasi kuwa si hasi.
- Unawalaumu watu wengine au nguvu ya nje kama kisababisho cha tatizo lako (wale walaumu mifumo,serikali,wazazi nk wapo kundi hili).
- Unaendelea kudumu kwenye tabia yako isiyo chanya licha ya matokeo mabaya unayopata kutokana na tabia hiyo.
- Unaahidi kutatua tatizo hilo baadaye lakini hiyo baadae hutatui.
- Unajiepusha kufikiria kuhusu tatizo hilo.
Wachagga ni kabila lenye mafanikio makubwa hapa Tanzania, licha ya tabia hasi kutoka miongoni mwao. Makabila mengine hasa kwenye mafanikio ya kiuchumi ni Wakinga, Wabena nk. Ukilichukua suala hili positively linaweza kukumotivate kuwa bora zaidi. Nadra Saną kuona mchaga goigoi kwenye kuchapa kazi au kutafuta mafanikio ya kifedha. Wachagga ni mfano hai wa Mtanzania mchapakazi anavyopaswa kuwa. Hawajalala kwenye Fedha, Elimu, Usafi, Ustaarabu, Utunzaji wa Mazingira, na kutokuwa waoga. Wachagga ni kabila la mfano kabisa jinsi mtanzania halisi anavyopaswa kuwa. Tabia zao hasi ni wizi na ukabila; otherwise Hawa ni kabila la kupigiwa mfano kabisa.