Bajeti yangu ni 600k - 800k kwahiyo Redmi zinauwezo mdogo kulinganisha na Xiaomi? Ila nimchek hizo Redmi note series ni Kali tu mfano note 13 ziunauwezo mkubwa wa Ram na space gb kubwa tu zakutoshaRedmi ni kitengo cha Xiaomi, kinachohusika na simu za bajeti, zenye uwezo mdogo.
Kuchukua ipi ni kamzozo, simu ni nyingi. Bora uweke bajeti yako hapa wadau wakushauri vizuri....
Kama inatosha kwa mahitaji yako nunua mkuuBajeti yangu ni 600k - 800k kwahiyo Redmi zinauwezo mdogo kulinganisha na Xiaomi? Ila nimchek hizo Redmi note series ni Kali tu mfano note 13 ziunauwezo mkubwa wa Ram na space gb kubwa tu zakutosha
Sio uyo, ni Chief-MkwawaMode pelekeni huu uzi jukwaa la tech ukakutane na CHIEF MKWAWA
Kama ulivyojibiwa juu Xiaomi ni kampuni mama ina sub brand zake Redmi, Poco, Mijia etc.Naona zinanichanganya nashindwa kuelewa ni kampuni moja au tofauti
Kama ni kampuni moja iweje na matoleo ya majina tofauti kwa mfano Kuna Xiaomi 14 na Kuna Redmi note 13 simu zote hizo utakuta kama ni Redmi kwenye body kava imeandikwa Redmi na kama ni Xiaomi basi imeandikwa Xiaomi
Tofauti na kampuni nyingine za simu wanaweza kuwa na matoleo tofauti lakini jina la kampuni linakuwa ni moja kwenye matoleo yote
Naomba pia kufahamishwa ubora na uzuri kati ya Redmi na Xiaomi nikitaka kununua nichukue ipi?
Asante sana chief nimeangalia vitu vyake naona itanifaa shukran sanaKama ulivyojibiwa juu Xiaomi ni kampuni mama ina sub brand zake Redmi, Poco, Mijia etc.
Redmi ni simu za budget ndogo, Na Xiaomi kama 14 ni flagship, bei za hizo flagship ni kubwa most of time ni zaidi ya milioni na zinaweza fika milioni 3 hadi 4.
Kwa budget hadi 800k kama hujali kuagizishia online Unapata Redmi Turbo 3, ambayo ndio simu bora zaidi kwa hio budget.
Chief leo nimeagiza Redmi not 12...kwa budget ya 550k...Pia vip ubora wakeKama ulivyojibiwa juu Xiaomi ni kampuni mama ina sub brand zake Redmi, Poco, Mijia etc.
Redmi ni simu za budget ndogo, Na Xiaomi kama 14 ni flagship, bei za hizo flagship ni kubwa most of time ni zaidi ya milioni na zinaweza fika milioni 3 hadi 4.
Kwa budget hadi 800k kama hujali kuagizishia online Unapata Redmi Turbo 3, ambayo ndio simu bora zaidi kwa hio budget.
Mkuu ungeomba ushauri kwanza, zipo Tigoshop note 12 5G ambayo ni version nzuri zaidi ya hii kwa 430K, sd 685 kwa 550K bei ipo juu kidogo.Chief leo nimeagiza Redmi not 12...kwa budget ya 550k...Pia vip ubora wake
Redmi note 12
256gb/8gb ram=545,000/=
5000mAh
50MP main camera
13MP selfie Came
Amoled display
4G
Side fingerprint
Snapdragon 685 processor
Sifa nlizo pitia ndo kama hizo hapo
Ila hizo za Tigoshop zinatumia line zote..?Mkuu ungeomba ushauri kwanza, zipo Tigoshop note 12 5G ambayo ni version nzuri zaidi ya hii kwa 430K, sd 685 kwa 550K bei ipo juu kidogo.
Na jee vipi changamoto zake ni zipi hasaaMkuu ungeomba ushauri kwanza, zipo Tigoshop note 12 5G ambayo ni version nzuri zaidi ya hii kwa 430K, sd 685 kwa 550K bei ipo juu kidogo.
Ndio zinatumia line zoteIla hizo za Tigoshop zinatumia line zote..?
Redmi 10C ikoje mkuu naomba unifafanulie kabla sijaenda kununuaNdio zinatumia line zote
Nzuri kiasi chake ila inategemea unanunua kwa bei gani, maana simu ya mda kidogo.Redmi 10C ikoje mkuu naomba unifafanulie kabla sijaenda kununua
Bajeti ya 300k inatosha?Nzuri kiasi chake ila inategemea unanunua kwa bei gani, maana simu ya mda kidogo.
300K ghali sana mkuu, Sasa hivi kuna 13C na 14C ambazo unazipata chini ya hapo. Pia ukiongeza kidogo hapo unapata A15 ambayo ni simu nzuri zaidi.Bajeti ya 300k inatosha?