Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona zinanichanganya nashindwa kuelewa ni kampuni moja au tofauti
Kama ni kampuni moja iweje na matoleo ya majina tofauti kwa mfano Kuna Xiaomi 14 na Kuna Redmi note 13 simu zote hizo utakuta kama ni Redmi kwenye body kava imeandikwa Redmi na kama ni Xiaomi basi imeandikwa Xiaomi
Tofauti na kampuni nyingine za simu wanaweza kuwa na matoleo tofauti lakini jina la kampuni linakuwa ni moja kwenye matoleo yote
Naomba pia kufahamishwa ubora na uzuri kati ya Redmi na Xiaomi nikitaka kununua nichukue ipi?
Hakuna tofauti ni tecno na infinix
Nifafanulie sifa za hiyo a15 mkuu nione kama itanifaa300K ghali sana mkuu, Sasa hivi kuna 13C na 14C ambazo unazipata chini ya hapo. Pia ukiongeza kidogo hapo unapata A15 ambayo ni simu nzuri zaidi.
Hizo simu ni za kampuni moja
Kampuni 1
Brand name tofauti
Ukichoka tecno unaenda infinix
Ukifilisika unarudi itel
😄😄hawaachi mteja
Haihitaji degree kuelewa mkuu ni akili ya kuzaliwa tuHiyo ni mbinu ya kibiashara.
Waliosoma degree za biashara wanaijua vizuri
TECNO na INFINIXNaona zinanichanganya nashindwa kuelewa ni kampuni moja au tofauti
Kama ni kampuni moja iweje na matoleo ya majina tofauti kwa mfano Kuna Xiaomi 14 na Kuna Redmi note 13 simu zote hizo utakuta kama ni Redmi kwenye body kava imeandikwa Redmi na kama ni Xiaomi basi imeandikwa Xiaomi
Tofauti na kampuni nyingine za simu wanaweza kuwa na matoleo tofauti lakini jina la kampuni linakuwa ni moja kwenye matoleo yote
Naomba pia kufahamishwa ubora na uzuri kati ya Redmi na Xiaomi nikitaka kununua nichukue ipi?
Haihitaji degree kuelewa mkuu ni akili ya kuzaliwa tu
Sawa mkuu ila mimi sio simu zangu hizo 😃😃Soko la Ulaya wameingia kwa jina la Phillips.
Wachina hao wa infinix wajanja sana.
Wamenunua jina lenye nguvu ulaya wamezama nalo sokoni.
Hata bongo ukiziona simu brand ya Philips jua ndio hao hao kina tecno
All around simu nzuri display ya Amoled, processor yenye speed Helio G99, inapokea updates miaka mingi، Storage za ufs zenye speed Etc. It's just camera yake sio nzuri, ila compare na 10C still camera nzuri.Nifafanulie sifa za hiyo a15 mkuu nione kama itanifaa
Bei shingapi? mkuuAll around simu nzuri display ya Amoled, processor yenye speed Helio G99, inapokea updates miaka mingi، Storage za ufs zenye speed Etc. It's just camera yake sio nzuri, ila compare na 10C still camera nzuri.
Last time ilikua 340k bei ya jumla, sina uhakika bei ya sasa.Bei shingapi? mkuu
ShukraniLast time ilikua 340k bei ya jumla, sina uhakika bei ya sasa.
Mimi sijasema situmii bidhaa za chinaKatika hizo hizo simu zako usije kushangaa mchina yupo.
Mchina hakimbiliki
Bwawa la rufiji lina faida matrilioni ya hela..
wachina wamezunguka mlango wa nyuma wamekuja kuzoa ma trilioni yetu kwa jina la watu wengine
Mkuu hivi unazizungumziaje hzi mashine 2Last time ilikua 340k bei ya jumla, sina uhakika bei ya sasa.
Flagship za kawaida ni all Arounder kila kitu kinazingatiwa, Camera nzuri, software updates za kutosha, mambo ya Artifical intelligence, display kali, perfomance ya kutosha Etc.Mkuu hivi unazizungumziaje hzi mashine 2
1. ZTE NUBIA Z60 ULTRA
2. ASUS ROG 9 PRO
Yaani in general kulinganisha na flagships za makampuni makubwa kma samsung
Nimeona hyo ZTE z60 ultra bei rahisi sana kuliko hta Redmi note 14 pro plusFlagship za kawaida ni all Arounder kila kitu kinazingatiwa, Camera nzuri, software updates za kutosha, mambo ya Artifical intelligence, display kali, perfomance ya kutosha Etc.
Simu kama Asus Rog ni gaming phone, zinakuwa na camera ila sio kali kama flagship nyengine na software pia ya kawaida ila perfomance wanahakikisha ni kubwa na ukaaji chaji mkubwa, hizi zina target wanaocheza games sana. So kama hujali Camera ama display kali unataka kucheza games za kisasa kwa Quality kubwa Rog ina make sense.
Kwa Zte gaming phone zao zinaitwa Redmagic, Z60 ultra ni flagship za Zte sema wao ni more of budget flagship simu zao hazina bei na pia hazipo maeneo yote kuna masoko wanayo ona wao yanalipa wana target.
Na tapeli mkuu angalia hio picha Hakujaandikwa ZTE,Nimeona hyo ZTE z60 ultra bei rahisi sana kuliko hta Redmi note 14 pro plus