Ni jambo gani ambalo mpenzi wako analifanya, linakukwaza lakini yeye hajui?

Mi natafuta mume wakunioa ukimwona wa hizi sifa naomba unipe namba zake .
A. Awe handsome wastani avae vizuri
B. Awe mwelewa na mpole
C. Awe na heshima na kazi na vihela hela vya kutunza familia mie sipendi kujipotezea muda . Kwa watu ambao hawaoi
 
Sawa imeisha hiyo, hapa mbuzi kafia kwa muuza supu, na mimi natafuta mke tunafanyaje sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…