Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh tehhhhhhh, sio kwa jibu zuri kama hili.Ndio kuitana zuzu kisa miss spelling.....Hakika nakujia ndotoni
Ulimtoa kafara ndugu yako ili upate utajiri?To sacrifice my own relative blood because of been rich. I say rich forever..........
Umenichekesha mnooo[emoji23][emoji23]ila ukome kutuharibia mahousegirl wetuSiku nilijipatia ka bekitatu ka jirani wanoko walishtukia Wakaja kuweka mkeka karibu na mlangoni kwangu ili wamshuhudie akitoka
Basi nikapenyesha waya mbili L na N nilipigisha shot walikimbia nikatoa mtoto mpaka kesho najisifu sana
Nilimtapel polisi 350 nikiwa kidato cha kwanza
Story yenyewe ipo hivi mimi nilikuwa nasoma shule ambayo lazima nipande magari mawili.
Yaaani moja kutoka home mpaka town na lingine town mapaka shule.
Kwa mnaoijua mwanza ilikuwa natoka igoma mpaka kirumba kabla ya hizi route za siku hiz za kuunganisha.
Bas siku moja moja kama sina nauli wakati wa kurudi(nilikuwa nakula mpaka naishiwa) inabidi nitembee kutoka kirumba mpaka mjini then nikifika mjin nakutana na makondakta wa mtaani wananibeba bure.
Sasa siku hiyo natembea mdogo mdogo nikapita mtaa wa liberty kuna benki ya NBC miaka hiyo alikuwepo askari mmoja nilikuwa namuona kila siku na alikuwa anaogopeka akaniita.
Nikasita kwa kile kiburi cha balehe ila nikasema poa wacha niende.
Kwa sauti ya kibabe akanipa 350/- nimchukulie sigara nakumbuka alinituma embassy
Nikaenda duka ambalo anaweza kuniona nikakosa nikarud kumwambi akasema nenda lile na pale pia alikuwa anaweza kiniona nikakosa.
Nikarudi kumwambia hakuna akaniambia kachukue pale kwenye kona.
Ha ha ha nadhani alijuta sana siki hiyo nilivyopiga kona tu sikuangalia nyuma bahati nzuri nikakutana na gari nikapanda huyoooooo
Sikupita mwaka mzima ile njia
Kuacha kazi ya kuajiriwa na kuwa mjasiriamali with my masters degree in Economics
I am proud kwa sababu naona nilichezea muda wangu kwenye ajira.,Congratulation!vp lkn ujasiriamali hali ipoje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]umwamba ni sisi tunaotembea bila chupi
qwi qwi qwi kitu cha cancelling!!!Canceling na ukatatua tatizo? Siamini