Ni Jambo gani la ujasiri sana uliwahi kufanya mpaka leo ukikumbuka unafurahia na kujiona mwamba...

kufanya mazoezi kutokea msoma mjini mpaka Dodoma bila kupumzika kwa siku mbili tu.
 
Nilimtapel polisi 350 nikiwa kidato cha kwanza

Story yenyewe ipo hivi mimi nilikuwa nasoma shule ambayo lazima nipande magari mawili.

Yaaani moja kutoka home mpaka town na lingine town mapaka shule.

Kwa mnaoijua mwanza ilikuwa natoka igoma mpaka kirumba kabla ya hizi route za siku hiz za kuunganisha.

Bas siku moja moja kama sina nauli wakati wa kurudi(nilikuwa nakula mpaka naishiwa) inabidi nitembee kutoka kirumba mpaka mjini then nikifika mjin nakutana na makondakta wa mtaani wananibeba bure.

Sasa siku hiyo natembea mdogo mdogo nikapita mtaa wa liberty kuna benki ya NBC miaka hiyo alikuwepo askari mmoja nilikuwa namuona kila siku na alikuwa anaogopeka akaniita.

Nikasita kwa kile kiburi cha balehe ila nikasema poa wacha niende.

Kwa sauti ya kibabe akanipa 350/- nimchukulie sigara nakumbuka alinituma embassy

Nikaenda duka ambalo anaweza kuniona nikakosa nikarud kumwambi akasema nenda lile na pale pia alikuwa anaweza kiniona nikakosa.

Nikarudi kumwambia hakuna akaniambia kachukue pale kwenye kona.

Ha ha ha nadhani alijuta sana siki hiyo nilivyopiga kona tu sikuangalia nyuma bahati nzuri nikakutana na gari nikapanda huyoooooo

Sikupita mwaka mzima ile njia
 
Siku nilijipatia ka bekitatu ka jirani wanoko walishtukia Wakaja kuweka mkeka karibu na mlangoni kwangu ili wamshuhudie akitoka
Basi nikapenyesha waya mbili L na N nilipigisha shot walikimbia nikatoa mtoto mpaka kesho najisifu sana
Umenichekesha mnooo[emoji23][emoji23]ila ukome kutuharibia mahousegirl wetu
 
Nilimtapel polisi 350 nikiwa kidato cha kwanza

Story yenyewe ipo hivi mimi nilikuwa nasoma shule ambayo lazima nipande magari mawili.

Yaaani moja kutoka home mpaka town na lingine town mapaka shule.

Kwa mnaoijua mwanza ilikuwa natoka igoma mpaka kirumba kabla ya hizi route za siku hiz za kuunganisha.

Bas siku moja moja kama sina nauli wakati wa kurudi(nilikuwa nakula mpaka naishiwa) inabidi nitembee kutoka kirumba mpaka mjini then nikifika mjin nakutana na makondakta wa mtaani wananibeba bure.

Sasa siku hiyo natembea mdogo mdogo nikapita mtaa wa liberty kuna benki ya NBC miaka hiyo alikuwepo askari mmoja nilikuwa namuona kila siku na alikuwa anaogopeka akaniita.

Nikasita kwa kile kiburi cha balehe ila nikasema poa wacha niende.

Kwa sauti ya kibabe akanipa 350/- nimchukulie sigara nakumbuka alinituma embassy

Nikaenda duka ambalo anaweza kuniona nikakosa nikarud kumwambi akasema nenda lile na pale pia alikuwa anaweza kiniona nikakosa.

Nikarudi kumwambia hakuna akaniambia kachukue pale kwenye kona.

Ha ha ha nadhani alijuta sana siki hiyo nilivyopiga kona tu sikuangalia nyuma bahati nzuri nikakutana na gari nikapanda huyoooooo

Sikupita mwaka mzima ile njia
 
Kuna madogo wawili niliwashauri wasome ufundi kuanzia walivyomaliza tu la 7 kwa maana niliwaona ni wazuri kwenye hesabu na niliwasisitiza sana wafuate mwenendo wangu wasome o level then waende technical colleges na wakafanya hivyo. Sasa mmoja yupo Uwanja wa ndege ni Mechanical Engineer na mwingine yupo Abroad ni Engineer pia.
Hawa vijana huniona kama Mungu wao kwa kuwatengenezea future ya kimasomo japo hata mia ya ada sijawahi kutoa. Wananikubali sana na huwa najiona mwamba kwa hilo.
 
Back
Top Bottom