Ni jambo gani lilikupa nguvu kubwa na hali ya kupambania riziki pale ulipopitia ugumu wa maisha?

Sure sometumes unahitaji utulivu wa akili tu.
 
Usisahau na jinsi unavyopewa dudu
 
It's painful πŸ˜– 😣 moyoni navyo viwaza ni complicated nimeanza harakat zangu natembea na elbow crutche plus Maumivu..

Naweza nikajiona na shida Ila wapo wenye shida zaidi..unaweza kujiona una njaa Ila wapo wenye njaa zaidi..unaweza ona unaumwa au una dhiki Ila wapo wenye dhiki na wanaumwa zaidi..

πŸ™πŸ™ Asante mungu kwa pumzi haya mengineo ni ya ziada TU..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…