Ni jambo gani lilikupa nguvu kubwa na hali ya kupambania riziki pale ulipopitia ugumu wa maisha?

Mpenzi wangu, kaka mzuri.
Huyu mtu amepambana sana kuniweka sawa kiakili, kunikumbusha mi ni nani na nina uwezo wa kufanya nini. Niliinuka na kutazama mbele kwa imani, hatimaye nikavuka.

Amenifunza sio kila changamoto inahitaji utatuzi wa kifedha, wakati mwingine faraja ndio kitu tunahitaji zaidi tunapopitia magumu. Mtu anayekupa amani na utulivu wa akili amekupa vyote.
Sure sometumes unahitaji utulivu wa akili tu.
 
Mpenzi wangu, kaka mzuri.
Huyu mtu amepambana sana kuniweka sawa kiakili, kunikumbusha mi ni nani na nina uwezo wa kufanya nini. Niliinuka na kutazama mbele kwa imani, hatimaye nikavuka.

Amenifunza sio kila changamoto inahitaji utatuzi wa kifedha, wakati mwingine faraja ndio kitu tunahitaji zaidi tunapopitia magumu. Mtu anayekupa amani na utulivu wa akili amekupa vyote.
Usisahau na jinsi unavyopewa dudu
 
It's painful 😖 😣 moyoni navyo viwaza ni complicated nimeanza harakat zangu natembea na elbow crutche plus Maumivu..

Naweza nikajiona na shida Ila wapo wenye shida zaidi..unaweza kujiona una njaa Ila wapo wenye njaa zaidi..unaweza ona unaumwa au una dhiki Ila wapo wenye dhiki na wanaumwa zaidi..

🙏🙏 Asante mungu kwa pumzi haya mengineo ni ya ziada TU..
 
Back
Top Bottom