Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Labda 🤔Haha! Wapite tu mkuu wanaweza kuwa na jambo lolote zuri la kujenga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda 🤔Haha! Wapite tu mkuu wanaweza kuwa na jambo lolote zuri la kujenga.
Kabisa yaani ila nimewasamehe na sijawadai hata miaMh! Mkuu pole na hongera sana. Hapa ndio ule usemi husema "adui yako hatoki mbali".
Sana washukuru tu mm ni mtu naejali sana hivo sijawahi kuwafanya wakose Raha japo nafs zao zitakuw zinaasuta sanaNadhani kwa sasa huwa wanawatazama kwa aibu sana.
Mwenyezi Mungu aendelee kukujazia kakibuyu kako mkuu, na uendelee na moyo huohuo.Sana washukuru tu mm ni mtu naejali sana hivo sijawahi kuwafanya wakose Raha japo nafs zao zitakuw zinaasuta sana
Pia ni kwaajili ya babaangu alinipenda sana alinipa kilakitu Yani nilikuwa mtoto wa baba haswa
Pamoja sana master 👊Mkuu karibu sana, nyuzi zako pia zimeniongezea maarifa sana.
Kaka wee acha tu ndugu yangu.Ni mawazo, changamoto na kufa na kupona.Yule binti ananihitaji zaidi ya sanaa.Kapo form 2 yanii ni mapambano japo si rahisiMkuu mwenyezi Mungu akutie nguvu, natumai katika hustling zako ipo siku utasimama vyema.
Sure sometumes unahitaji utulivu wa akili tu.Mpenzi wangu, kaka mzuri.
Huyu mtu amepambana sana kuniweka sawa kiakili, kunikumbusha mi ni nani na nina uwezo wa kufanya nini. Niliinuka na kutazama mbele kwa imani, hatimaye nikavuka.
Amenifunza sio kila changamoto inahitaji utatuzi wa kifedha, wakati mwingine faraja ndio kitu tunahitaji zaidi tunapopitia magumu. Mtu anayekupa amani na utulivu wa akili amekupa vyote.
Usisahau na jinsi unavyopewa duduMpenzi wangu, kaka mzuri.
Huyu mtu amepambana sana kuniweka sawa kiakili, kunikumbusha mi ni nani na nina uwezo wa kufanya nini. Niliinuka na kutazama mbele kwa imani, hatimaye nikavuka.
Amenifunza sio kila changamoto inahitaji utatuzi wa kifedha, wakati mwingine faraja ndio kitu tunahitaji zaidi tunapopitia magumu. Mtu anayekupa amani na utulivu wa akili amekupa vyote.
✊🏿📿🙏🏽✅Mkuu mission yako ni nzuri sana, na kwa uweza wa Allah akakutimizie hitaji lako.