Ni jambo gani lilikupa nguvu kubwa na hali ya kupambania riziki pale ulipopitia ugumu wa maisha?

Pole sana Dkt., Mungu ni mwema utakuwa sawa kabisa muda si mrefu.
 
Pole sana mkuu, mwenyezi Mungu akatufanyie wepesi.
Amina ๐Ÿ™
 

SOON AFTER MARRIAGE
GOD CHANGED MY STATUS, FROM HOMELESS TO HOME, FROM JOBLESS TO JOB, FROM BLAME TO BLAMELESS.....Ushauri ukifikia miaka 24 umemaliza masomo oa utakuja kunishukuru.
 
Kaka kapata mke, hakukosea kuchagua. ๐Ÿ˜

Pole wifi ndugu wana mambo ya ajabu sana linapokuja suala la mirathi, mimi mzee kafariki kaacha mali nyingi ila kutokana na funzo nililolipata kutoka kifo cha mama wala sina habari nao. Nimewaambia hizo mali gawaneni mpk migomba yake ya shamba huko peaneni msinihesabie.!! Sitaki kelele.
Niko busy kupambania ninachokitafuta kwa jasho langu.
 
SOON AFTER MARRIAGE
GOD CHANGED MY STATUS, FROM HOMELESS TO HOME, FROM JOBLESS TO JOB, FROM BLAME TO BLAMELESS.....Ushauri ukifikia miaka 24 umemaliza masomo oa utakuja kunishukuru.
How comes brother if things goes wrong?
 
Kwahiyo hadi migomba ukawaambia wahesabu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mkuu una moyo mgumu sana.
 
Pole Nkamu ๐Ÿฅบ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ