Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Pole sana Dkt., Mungu ni mwema utakuwa sawa kabisa muda si mrefu.It's painful 😖 😣 moyoni navyo viwaza ni complicated nimeanza harakat zangu natembea na elbow crutche plus Maumivu..
Naweza nikajiona na shida Ila wapo wenye shida zaidi..unaweza kujiona una njaa Ila wapo wenye njaa zaidi..unaweza ona unaumwa au una dhiki Ila wapo wenye dhiki na wanaumwa zaidi..
🙏🙏 Asante mungu kwa pumzi haya mengineo ni ya ziada TU..