Ni jambo gani lilikupa nguvu kubwa na hali ya kupambania riziki pale ulipopitia ugumu wa maisha?

Mtoto wangu na wazazi wangu espec Baba yangu.sitakufa Hadi nilisimamishe jina la Baba yangu kwa ukubwa wake.najua ananiona na ananifurahia
Ikawe kheri na mwenyezi Mungu akakutimizie hitaji lako mkuu.
 
Huwa ninachagua kufanya na kuishi vile ambavyo naona ninaridhika,ninafurahi,ninakuwa na amani na tumaini jipya kwamba mimi sio wa kwanza na sitokuwa wa mwisho kupitia magumu.
Jipe Moyo na Mwenyezi Mungu hamwachi anayemwomba mara zote.
 
Mimba daaah kwa yule binti
 
I'm the person that everyone replace me after a while
 
I'm living in the bleak midwinter
Sorry for everything you're passing broh, otherwise try to engage yourself with friends if possible and be happy with life you're living things wil go well one time πŸ™
 
Sorry for everything you're passing broh, otherwise try to engage yourself with friends if possible and be happy with life you're living things wil go well one time πŸ™
I really enjoying being alone sina marafiki na sitaki tena kuwajua watu niliokuwa nafahamiana nao hapo zamani
 
I really enjoying being alone sina marafiki na sitaki tena kuwajua watu niliokuwa nafahamiana nao hapo zamani
Pole sana asee! Hobbies zako ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…