Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipe Moyo na Mwenyezi Mungu hamwachi anayemwomba mara zote.Huwa ninachagua kufanya na kuishi vile ambavyo naona ninaridhika,ninafurahi,ninakuwa na amani na tumaini jipya kwamba mimi sio wa kwanza na sitokuwa wa mwisho kupitia magumu.
Nipe link nikatazame mkuu.
www.jamiiforums.com
Mimba daaah kwa yule bintiWasalamu wakuu!
Niwape hongera na pole kwa hustling za kila siku za kuhakikisha wewe binafsi na watu wako wa karibu wanafurahia juhudi zako.
Nimeleta andiko hili najua si mara ya kwanza yaweza kuwa lilishaandikwa kwa namna nyingi na wadau humu jukwani.
Hali ya kimaisha inazidi kuwa ngumu siku hadi siku, najua kwa namna moja ama nyingine kila mtu ana mbinu ama story ambayo ilimpa nguvu na hali kubwa ya kupambana hadi alipofikia kujiweka katika nafasi nzuri ya kujihakikishia ameupunguza ugumu wa maisha kwa kiasi kikubwa.
Hali hii ya ugumu wa maisha imewafanya watu wengi waone hata suala la kuoa na kuwa na familia ni anasa.
Sasa enyi ma-malejendi na wakongwe tupeni mbinu ama story zilizowafanya muupunguze huu ugumu. Jambo au story yako inaweza kuwa silaha kubwa ya kumtoa mtu mwingine sehemu moja kwenda nyingine.
Asanteni sana na karibuni 🫶
Nipe link nikatazame mkuu.
www.jamiiforums.com
FeminismNina mtoto wa kike wa miaka 7 sasa, I always wish nimtengeneze aje kuwa mwanamke wa shoka kama ww, mbinu gani nitumie mkuu?
Masuala ya malezi hayatabiriki ila nitakujibu mkuu sijatuliaNina mtoto wa kike wa miaka 7 sasa, I always wish nimtengeneze aje kuwa mwanamke wa shoka kama ww, mbinu gani nitumie mkuu?
Nishakubless mkuu 🤝SoC04 - Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia
Tanzania ni nchi iliyojaliwa kudumisha amani ya muungano wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar tangu tarehe 26 Aprili, 1964 barani Afrika na kubarikiwa rasilimali za kipekee kutoka kwa mwenyezi Mungu zenye tija ya maendeleo. Mfano: madini ya tanzanite. TANZANIA TUITAKAYO miaka 5-25 ijayo. Si rahisi...www.jamiiforums.com
I'm living in the bleak midwinterDon't give up brother, you will make it. 🙏
I really enjoying being alone sina marafiki na sitaki tena kuwajua watu niliokuwa nafahamiana nao hapo zamaniSorry for everything you're passing broh, otherwise try to engage yourself with friends if possible and be happy with life you're living things wil go well one time 🙏
Kusoma vitabu tu mkuuPole sana asee! Hobbies zako ni nini?