Ni jambo gani linakukera kwenye Redio za Tanzania?

Mimi hua wananiudhi wakisema tujiunge na dodoma hivi kuna haja gani ya kufanya vile? Badilikeni tbc mnatukosesha uzalendo habari zote ni kusifia tu miradi ifike mahali hudumieni jamii kuna mambo mengi tu yanayoweza kuwa inspire wanachi hamyatangazi mnakalia mara sijui kuweka jiwe la msingi dispensary tusifanyiane hivyo Mazeeee
 
Hapo naona povu linakutoka. Mada nzuri unashindwa kuitetea. Anyway we all humans..


*Fiesta clouds ndio msimu wake huu wacha wajigambe, wacha wajipe promo.

*Kuna haja gani ya kukereka na studios za radio wakati radio unaisikiliza radioni...anyway sisi ndo watz.

Kitu kikubwa kinachonikera kwenye vipindi vya radio ni KUIGANA.

Kuigana kianzia namna ya utangazaji, setups za vipindi..

Kuanzia vipindi vya magazeti, vya mchana na michezo.

Nafikiria sijui ndo ile learning from the best...

Licha ya kukua na kujifunza kuna haja pia ya kuwa na ubunifu.
 
Uko sahihi kwa mtazamo wako,ni kama Mimi clouds au wasafi hua sifuatilii hata kidogo, tunatofautiana ni kawaida hatuwezi penda vitu sawa
 
Teh teh teh...hua nawasikiliza nashangaa muda wote huo kipindi kimoja? Mhh hivi vipindi vingine hakuna hata vya elimu.
 
Hiki kituo cha radio wasafi fm kwenye kipindi chao cha bloku 89 kuna yule manzi black na yule dogo wa kiume mwembamba huwa wana maswali fyongo sana. In short wanaboa wana.
 
Hao clouds watangazaji wao kila kukicha wanazid kuwa watoto

1. Kuna huyu babras Yan anajiongelesha utafikir n Kaden/mdem kumbe n n limaza la siku nyingi ananiuz kwa kujiongelesha Kama msichana kipo na boyfriend wake kinataka kumpiga mzinga.

2. Masoud huyu anajidai mjuaji na kila kitu anakijua pia udini ameuweka kwenye mfuko wa shati

3. Hawa waleotena hawanashida gawajivungi wanabalance maisha halisi na Kaz sema huwa hawaandai kipindi huwa wanakutana kupiga stori Mana wanaeza Anza ongea inshu flan mtu akasema Jambo Basi kipindi kinabadilika hapo.

4. Xxl nao n walewale ukiwasikiliza utadhan wanaishi Miami kumbe wote Hanna hapo James anakibeba kipindi kwa dk5 zake anazopata

5. Jahazi hawa hakuna akili kabisa kila wanachoongea wanakilazimisha kiendane nangono pumba kabisa.
Tena huyo George ndo jinga lao.

5. Michezo Alex anauliza maswali kina Jeff kwa mfumo wa endelea kusema hv swali halimpi Uhuru muulizaji kujibu.

Efm

Hawa jamaa walianza vizuri kutupigia ngoma Kali Ila wakachenji mzee saz singel zimezid kipimo na ndio wametuletea mfumo wa kusikiliza nyimbo sekende 20 Yan wanaboa Sana.


Radio pendwa kwangu n RFA

1 jumapili saa nne sitosahau
2. Jumapili saa nane njia panda
Weekdays RFA usiku bolingo n mwendo wa kula mayenu tuu

BBC nao miyeyusho kilasiku chadema na kusema serikali za afrika mabaya Yan utafikir kongi watu hawanywi via au Kule mogadishu
 
Kuna tangaxo la kijinga la kondomu zakije lile neno kujamiana sijui waliliweka lann Yan wajinga Sana Kaz ya kondom inajulikana

Bora usikilize DMX ubran heat
 
Wasafi wapo vizuri sana Hongera Dkt.Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…