Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Nasikitika sana mwanaume kamili kutangaza vipindi vya mipasho, kweli ni mbaya wakuu RFA saa sita asee yule mshikaji dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo ya shule za kata
ASANTE MKUU KWA MAELEZO YAKO. UMELIONA TATIZO KWA MAPANA YAKE. RADIO ZA TANZANIA ZINABORONGA HASWA. NA NINA IMANI HII THREAD ITAWAFIKIA.Mzizi wa hayo yote ni WAMILIKI wa vyombo hivi.
WAMILIKI wanapunguza gharama kwa kukwepa kuajili walio na sifa. Hawa wasio na sifa wapo tayari kufanya kazi katika mazingira yyte tena kwa maslahi kidogo.
WAMILIKI kutowekeza kwenye utafiti. Habari nzuri inahitaji utafiti wa kutosha. Utafiti unahitaji pesa. Sio wamiliki wengi wapo tayari kwa hili. Matokeo yake watangazaji wanaishia kuongelea watu (badala ya issues) na umbea mwingi wa huko fesibuku, instagram n.k. Ni kwa sababu hawana cha kuongea ila wanalazimika kwa sababu lazima kipindi kiende hewani.
Hiyo ndio bongo, tunakwama wapiVipindi vingi vya redio hasa vile vya mijadala ni TAKATAKA kabisa, hakuna hoja ni makelele na mayowe tuu, watangazaji hawaulizi maswali ya akili yani sijui huko vyuoni wanaenda kufundishwa nini, haya swala lingine ni kuchukua wasanii na kuwafanya watangazaji wa vipindi huo ndo upupu mwingine, mwisho ni hili janga la wanaume kutangaza vipindi vya mipasho kama yule wa radio free asee ni tatizo unaezasema jamaa siyo riziki
Mimi naanza na hawa Clouds Media Group
Clouds FM mnazingua sana kwa jinsi mnavyoi promo hiyo show ya fiesta mnakera sana tangazo kila baada ya dakika nne.
Hakuna cha maana mnazungumza ni fiesta tu. Yaani radio yenu haina maana yoyote ni issues za fiesta muda wote. Mnaboa sana.
Njia pekee ya kuvutia watu kwenye tamasha sio kuharibu vipindi vyenu ni kuwork smart tu. na watangazaji walivyo wavivu nao kila dakika wanazungumzia hiyo show as if ni sherehe ya kitaifa.
Lazima mtambue kuwa sio wote wanaosikiliza hiyo radio wanayo access ya kufika kwenye hilo tamasha hasa sisi wa mikoani.
Mfano mimi huku rombo hilo tangazo la fiesta na hayo maelezo ya fiesta ni non sense hayana faida yoyote kwangu zaidi ni kero tu. Mimi ninachokihitaji ni taarifa. nahitaji information.
Pili:
View attachment 1280875
Radio one (IPP MEDIA) na studio yao ina muonekano wa ovyo sana. studio haina mvuto kabisa. Bi Joyce kama mkuu wa superbrand mnapaswa kuboresha hii studio iwe na muonekano wa kisasa ili muweze kustream online kisasa.
Atleast iwe kama ya Wasafi Katika Radio zenye on air studio kali Tanzania, probably wasafi fm ni namba moja Tanzania.
What future hold for radio?
Modern society is image-obsessed, so radio can maintain its individuality by not following suit.
From the very beginning, the advantage of radio has been its ability to boost the imagination via the content being broadcast.
Adding images to its content could make it lose its charm and scar the future identity of radio itself.
Nishawahi sikiia huu uupuzi once nikajiuliza maswali lukuki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfano ishu ya ufreemason, inakeraga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfano ishu ya ufreemason, inakeraga
MKUU hebu niambie ni radio ipi inayofaa
Hayo matangazo ya biashara watu huwa hawasikilizi wanabadili station nawaonea huruma wanaopeleka matangazo yao redioni hasa clouds fmMimi naanza na hawa Clouds Media Group
Clouds FM mnazingua sana kwa jinsi mnavyoi promo hiyo show ya fiesta mnakera sana tangazo kila baada ya dakika nne.
Hakuna cha maana mnazungumza ni fiesta tu. Yaani radio yenu haina maana yoyote ni issues za fiesta muda wote. Mnaboa sana.
Njia pekee ya kuvutia watu kwenye tamasha sio kuharibu vipindi vyenu ni kuwork smart tu. na watangazaji walivyo wavivu nao kila dakika wanazungumzia hiyo show as if ni sherehe ya kitaifa.
Lazima mtambue kuwa sio wote wanaosikiliza hiyo radio wanayo access ya kufika kwenye hilo tamasha hasa sisi wa mikoani.
Mfano mimi huku rombo hilo tangazo la fiesta na hayo maelezo ya fiesta ni non sense hayana faida yoyote kwangu zaidi ni kero tu. Mimi ninachokihitaji ni taarifa. nahitaji information.
Pili:
View attachment 1280875
Radio one (IPP MEDIA) na studio yao ina muonekano wa ovyo sana. studio haina mvuto kabisa. Bi Joyce kama mkuu wa superbrand mnapaswa kuboresha hii studio iwe na muonekano wa kisasa ili muweze kustream online kisasa.
Atleast iwe kama ya Wasafi Katika Radio zenye on air studio kali Tanzania, probably wasafi fm ni namba moja Tanzania.
What future hold for radio?
Modern society is image-obsessed, so radio can maintain its individuality by not following suit.
From the very beginning, the advantage of radio has been its ability to boost the imagination via the content being broadcast.
Adding images to its content could make it lose its charm and scar the future identity of radio itself.
Mimi radio yangu ni JF
TBC je?????Mimi naanza na hawa Clouds Media Group