Ni jambo gani linakukera kwenye Redio za Tanzania?

Ni jambo gani linakukera kwenye Redio za Tanzania?

Kuna redio zpo moro wanaongea mambo ya ajabu kweli ,mtu mpk huwi interested kusikiliza radio at all.
 
Wasikilize E-fm jioni tangazo LA condom Lazima adakie bila kuja na bull me siwezi kukupa huo mzigo na kile kikenya chake
baada ya tangazo fulani la bidhaa kuisha utasikia mtangazaji anasema "hata me natumia hayo maji yakoo bariiida sana"
"unasikia bwana kitenge hizo karanga ninatafuna sana kabla sijaja hapa kipindini"

"kifurushi hicho ni bomba saana yaani hata ile laini ya mtandao mwngne nishaiacha ..ninkuperuzi tu"

NB NDUGU HAWA WATU NI WANABOA KILA TANGAZO UNAKUTA YEYE TU ANATUMIA ila sijawahi sikia baada ya tangazo la condom kuwa kuna mtangazaji huwa anaongea lolote
 
mi kinachonikera kwenye radio ni utangazaji wa maulid kitenge na timu yake. kitenge anatangaza kama matako amekalia moto na mdomoni anatafuna pili pili. yani yuko juu juu hadi anakera, kwani hawezi kutulia akatangaza vzr. au ndio amelewa sifa
 
Ase kuna radio Inaitwa Kill Fm. Ipo Kilimanjaro haijasambaa sana. Watangazaji wa ajab ajabu. Kelele kelele mingi. Hasa kuna kipindi kinaendeshwa na chali mmoja wa kiume ila tabia za kike. Radio inakua na kipindi cha mipasho ni redio hiyo kweli. Afu mtangazaji mwanaume
ha,ha,ha, yule jamaa sikujuaga kama ni mwanaume, anasuta kuliko hata wanawake wa kizaramo
 
Hahahaaaa jamaa juzi kati tukawa tunabishana nasema ni mwanamke kumbe ni dume anaitwa Arnold Moshi .. #Itakuasioridhikiyule
YUle dogo mjinga kabisa alafu anaona anachofanya cha maana anakera sana. michambo kuliko hata hadija kopa. hili ndo tatizo la kuajiri watangazaji wasioifahamu vizuri tasnia ya habari. Pascal Mayalla hebu andaa kongamano la waandishi wa habari wakongwe na wapya muwape ideas hawa vijana wanatukera sana
 
Radio gani hiyo inayotangaza kwa utafiti vzr nami nifuatilie vzr hiyo radio
KERO YANGU TBC NI TAARIFA YA HABARI DAKIKA TANO MMESHAMALIZA.RADIO YA KANISA INATANGAZA HABARI NYINGI ZILIZOTAFITIWA KWA DAKIKA KUMI NINYI MNASHINDWA NINI.NDIO MAANA RAISI AKITUKANA WATU NAMKUBALI.HATA MAFANIKIO HAMTANGAZI? WALE WEZI WA PESA ZA UMMA JE WANA NAFASI TENA AWAMU HII?
 
Hii r
Ase kuna radio Inaitwa Kill Fm. Ipo Kilimanjaro haijasambaa sana. Watangazaji wa ajab ajabu. Kelele kelele mingi. Hasa kuna kipindi kinaendeshwa na chali mmoja wa kiume ila tabia za kike. Radio inakua na kipindi cha mipasho ni redio hiyo kweli. Afu mtangazaji mwanaume
Hii redio ilikua makini zamani saivi bora iweke shiiiiiiiiiiiiiiiii naridhika
 
Mimi naanza na hawa Clouds Media Group

Clouds FM mnazingua sana kwa jinsi mnavyoi promo hiyo show ya fiesta mnakera sana tangazo kila baada ya dakika nne.

Hakuna cha maana mnazungumza ni fiesta tu. Yaani radio yenu haina maana yoyote ni issues za fiesta muda wote. Mnaboa sana.

Njia pekee ya kuvutia watu kwenye tamasha sio kuharibu vipindi vyenu ni kuwork smart tu. na watangazaji walivyo wavivu nao kila dakika wanazungumzia hiyo show as if ni sherehe ya kitaifa.

Lazima mtambue kuwa sio wote wanaosikiliza hiyo radio wanayo access ya kufika kwenye hilo tamasha hasa sisi wa mikoani.

Mfano mimi huku rombo hilo tangazo la fiesta na hayo maelezo ya fiesta ni non sense hayana faida yoyote kwangu zaidi ni kero tu. Mimi ninachokihitaji ni taarifa. nahitaji information.

Pili:

View attachment 1280875

Radio one (IPP MEDIA) na studio yao ina muonekano wa ovyo sana. studio haina mvuto kabisa. Bi Joyce kama mkuu wa superbrand mnapaswa kuboresha hii studio iwe na muonekano wa kisasa ili muweze kustream online kisasa.

Atleast iwe kama ya Wasafi Katika Radio zenye on air studio kali Tanzania, probably wasafi fm ni namba moja Tanzania.

What future hold for radio?
Modern society is image-obsessed, so radio can maintain its individuality by not following suit.

From the very beginning, the advantage of radio has been its ability to boost the imagination via the content being broadcast.

Adding images to its content could make it lose its charm and scar the future identity of radio itself.
Congratulations!
Umenena
 
Back
Top Bottom