Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Kichwani mwangu Hua najiambia wanawake Bi lazima watakuwa watamu saana.Hapana na ikitokea ndio basi asiwe na mahusiano kwa wakati huo, it's disgusting to imagine i share with the other gender.
Kichwani mwangu Hua najiambia wanawake Bi lazima watakuwa watamu saana.Hapana na ikitokea ndio basi asiwe na mahusiano kwa wakati huo, it's disgusting to imagine i share with the other gender.
Yeah, they are open minded, they know what they want, they sweet and wild.Kichwani mwangu Hua najiambia wanawake Bi lazima watakuwa watamu saana.
woii Jesus 😅😁Hapana na ikitokea ndio basi asiwe na mahusiano kwa wakati huo, it's disgusting to imagine i share with the other gender.
Wewe ni wa kiume au wa kike?Alikua anakata tonge mbili za ugali kwa wakati mmoja,
Yani matonge mawili mkononi kama vile Truck na tela lake.
Kama unatafuta mume,mimi ni wa kiume,karibu sana.Wewe ni wa kiume au wa kike?
We jamaaAlikua anakoroma kama Jenereta linalokaribia kumaliza mafuta.
King Kong III wewe hujasema na weweHapana na ikitokea ndio basi asiwe na mahusiano kwa wakati huo, it's disgusting to imagine i share with the other gender.
Hiyo movie lazima itakua Below her Mouth, wanaume mmeiona hiyo movie kuliko hata wanawake🙌🏻
Jinsia yenu kiujumla wake hainisisimui haijalishi umri, ndevu, jasho 🤢
Kwangu issue ambayo inaweza kunifanya nisioe ni moja tu Infidelity lakini mengine hayawezi kunizuia.King Kong III wewe hujasema na wewe
Ujue nini mkuu, si kutafuta mume hapo, isipokuwa aina ya uandishi nd'o imeleta swali hilo.Kama unatafuta mume,mimi ni wa kiume,karibu sana.
Wewe ni mgeni hapa JF?Ujue nini mkuu, si kutafuta mume hapo, isipokuwa aina ya uandishi nd'o imeleta swali hilo.
Mwanaume hahesabii matonge shosho yake bhana.
Ushaona jogoo linavyochakura aridhi ili jike ale hata kama ye'ananjaa?
Enhee na sisi wanaume tuko hivyo, yaani kufurahia mwanamke anavyotafuna vya kwako.
Sa'mwanaume kuhesabia jike matonge ikanitatiza, jambo hilo ni aghalabu kutokea labda uwe na chuki naye.
Nikaona statement hiyo inapingana na nature!
Samahani sana lakini bwana mzee.