Ni jambo gani mchumba wako alifanya, ukajua huwezi kumuoa au kuolewa naye

Ni jambo gani mchumba wako alifanya, ukajua huwezi kumuoa au kuolewa naye

Hiyo movie lazima itakua Below her Mouth, wanaume mmeiona hiyo movie kuliko hata wanawake🙌🏻

Jinsia yenu kiujumla wake hainisisimui haijalishi umri, ndevu, jasho 🤢
Siku utakayoniletea ule Urojo wangu, tutaangalia pamoja ile movie yetu 😅

Sitaki kupoteza nafasi ya kukubadirisha mtazamo kuhusu hayo mambo, najua nikitumia uzoefu wangu wa Mwaka 47

Utajilaumu kwanini ulichelewa kukutana na jinsia yetu

Huwezi kujua hadithi ya kitabu kama hujakisoma 🤗
 
Sijui nilikua nakagua kitu Gani kwenye kabati la nguo nikakuta ana kadi ya chama Fulani hivi Cha siasa... Tokea kipindi hiko tulimalizana ni Bora hata angejiunga freemason ningemuelewa
 
Hua nacheka mnaposema "kukubadilisha mtazamo" kama ambavyo huwezi kumdinya mwanaume mwenzako basi ndivyo hivyo kwenye mitizamo ya wengine pia.
Umeongea jambo la muhimu sana Mjukuu, pitia nikupe kile kitabu cha Mwaka 47

Kina hadithi nzuri sana ujue 🤗
 
Mahusiano ni jambo zuri, ila muda mwingine ni tabu tupu mnapo kutana watu wawili wenye mitazamo, hisia, malengo au mienendo tofauti.

Kuna mambo ikitokea mwenza wako kafanya ni ngumu kuya kubali, na ndio mwisho wa mahusiano.

Je ni jambo gani mchumba ako ali fanya ukasema this is it, hakuna cha mahusiano wala ndoa hapa.
View attachment 3487922
Alijaribu kutishia uhai wa penzi letu kwa kuniomba jero, aisee nilisikitika sana🥱
 
Hua nacheka mnaposema "kukubadilisha mtazamo" kama ambavyo huwezi kumdinya mwanaume mwenzako basi ndivyo hivyo kwenye mitizamo ya wengine pia.
😂😂😂😂😂😂
Nimecheka sana, "kukubadilisha mtazamo"
Hii kitu watu wanadhani ni rahisi sana eeh?

Nimekumbuka kitu, 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom