Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
- #141
Kitunguu ndii nini 😂Ana kitunguu mwanang!😁😩
Kitunguu ndii nini 😂Ana kitunguu mwanang!😁😩
We ungetaka?😂Ko hutaki au? 😂😂😂😂
Oa kenge wewewe mpaka siku nikupasue hilo domo ndio uta niheshimu, mimi ni raisi wa ma jobless pro max.
Kuna mstari umeuandika hapo, umefanya hadi msuli wangu u-shake kwa msisimko baada ya miaka mingi kuwa bila bila🤗Wazanzibar wapo vizuri sana babu, usihadaike na dini yao, wamepikwa na kupikika vizuri na Masomo na Manyakanga, wamejitosheleza kila idara,
#weka mbali na wazee msije kufa vifuani
Hahaha.........inawezekana hujazoea hayo MkuuUkilipia mahari ndiyo ufanyiwe ivyo
😅😅Ila MjukuuMzee hutoi sasampa unakwama!
Sio mbali wala karibuLabda 2027/2028.
Hayo mambo hayana baunsa, unless uwe na afya mgogoro kama sisi Wazee tu 😜Dah mtoto wa mama mchungaji, ali zidiwa na 6. Kwa 6 kudadadeki.
Ngoja tuone, mimi naenda kwa mipango na uhalisia furaha ya genye sito ruhusu ini cost.Sio mbali wala karibu
Kwakuwa umri umenitupa Mkono, mtaniandalia biryani maini tu siku hiyo 🤗
Napenda maneno ambaye mama ali mwambia mfalme Solomon, women made kingdom and king's to fail.Hayo mambo hayana baunsa, unless uwe na afya mgogoro kama sisi Wazee tu 😜
😂😂😂😂We ungetaka?😂
Acha uboya haji manara 😂Oa kenge wewe
I hope ulikuwa ushamaliza swala la ufunuo mheshimiwa raisi 😂😂Leo nime mkumbuka huyu binti baada ya kukutana naye sehemu fulani, back in the days alikuwaga ndio mchumba wa jobless pro max mimi.
she was cute, fine body, tabasamu zuri ila kisanga kilicho fanya tupeane pumziko ni hakupenda uhalisia kudadadeki.
Nakumbuka ali niuliza vipaumbele vyangu kwenye maisha, nika muambia 4 mimi, familia yangu, biashara na wanne ni yeye.
aisee ali kasirika kinyama, akadai ana taka yeye ndio kuwa kipaumbele muhimu na cha kwanza kwenye maisha yangu.
Nika muambia I'm familiar with that game, u manipulator hauwezi fanya kazi kwangu.
Baadae ali sisitiza eti ulikuwa ni utani, ili ajue kama namjali.
Ila utani pasipo na utani ndio red flag zenyewe, we were done.
Yeye alikuwa kama mageti ya Israel, daima yali funguliwa kwa ajili yangu😂🤣I hope ulikuwa ushamaliza swala la ufunuo mheshimiwa raisi 😂😂
Nitamtuma jirani yangu akuletee huo urojo, mimi na watu wenye ndevu hua sipendi hata kukaribiana naoKuna mstari umeuandika hapo, umefanya hadi msuli wangu u-shake kwa msisimko baada ya miaka mingi kuwa bila bila🤗
Nadhani muda wa kuniletea Urojo ndiyo huu Mjukuu ,nijionee kwa macho yangu hizo sifa za Pwani 😜
Dawa zangu za Presha nipo nazo karibu Incase umri ukinisaliti 😅
Dah umejua kunichekesha.Nitamtuma jirani yangu akuletee huo urojo, mimi na watu wenye ndevu hua sipendi hata kukaribiana nao
Duh! Ungeona moto yaani mwanamke anaondoka na maberoAlikuwa anamdai rafiki yake laki 3. Rafiki yake alikuwa na duka la mitumba. Baada ya kuchoka kuzungushwa akafanya fujo sana hapo dukani mpaka akaondoka na mabaro ya nguo na yale masanamu.
Alinisimulia kama mazuri ila kichwani najisemea huyu bondia siwezi kuoa