Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
- #81
Wapo sana, kuna mmoja arghh dunia isije nibadilikia 😂Haha........hao wa hivyo hawapatikani miaka hii
Tulibahatika sisi tu Wazee wenu Mwaka 47 🤗
Wapo sana, kuna mmoja arghh dunia isije nibadilikia 😂Haha........hao wa hivyo hawapatikani miaka hii
Tulibahatika sisi tu Wazee wenu Mwaka 47 🤗
Sema tu ulipikiwa kansolele imekolea karanga pamoja na manuizi ya kinyamwezi mkuu😁😁Nili enda tabora huko, mabinti wana andaliwa kwa mafunzo.
Mwichi una wekwa chini, binti ana jizungusha. Ikabidi nimuone mmoja wao ili anipe siri ya mafunzo Yao😅
I got you chief,No.
Gambino got it from me. Kwangu Gambino ni Bambino.
Kuna binti alishawahi kunipa compliment.I got you chief,
In other news John cena delivered a top performance.
Hahaha mwana una zingua sana, eti don't get it twisted 😅😂.Kuna binti alishawahi kunipa compliment.
Akasema "Kiranga wewe handsome sana unafanana kabisa na Denzel Washington. Kuanzia sura mpaka unavyotembea".
Nikamwambia "Noo babygirl. Denzel Washington ndiye anayefanana na mimi. Don't get it twisted. But thank you though".
John Cena mzushi sana hajapanga mechi kweli huyu?
Ko hutaki au? 😂😂😂😂Wa taa waaaa
😂😂😂😂😂Wewe unaweza kuona natupa ndoano jangwani kumbe mwenzako nachimba mafuta Saudia 🤣🤣🤣
😂😂😂Alifungua soda kwa meno
Hongera sana kama umebahatikaWapo sana, kuna mmoja arghh dunia isije nibadilikia 😂
Mabinti wa hivyo, wakikutana na Wazee wa umri wetu tumetoka kupokea pensionNili enda tabora huko, mabinti wana andaliwa kwa mafunzo.
Mwichi una wekwa chini, binti ana jizungusha. Ikabidi nimuone mmoja wao ili anipe siri ya mafunzo Yao😅
Akaolewe na machawa wenzie huko..!Mambo ya utofauti yenu wa kisiasa huwezi kufanya umchukie mwenzako inaonesha wewe hujawa mature
Acha zako 🦅 😂Sema tu ulipikiwa kansolele imekolea karanga pamoja na manuizi ya kinyamwezi mkuu😁😁
Mtoto wa rwakatale kili mkuta nini?, au ndio urithi uli mchanganya?Mabinti wa hivyo, wakikutana na Wazee wa umri wetu tumetoka kupokea pension
Unakuta umebandikwa mtangazo unatafutwa Kila mahali na familia haijui ulipo
Kumbe umefichwa Tabata kama mtoto wa mchungaji Rwakatale 🙌
Nasikia Dr. Mariposa yuko hivyo, ngoja nika hakikishe kwa vitendo 😂😊Mabinti wa hivyo, wakikutana na Wazee wa umri wetu tumetoka kupokea pension
Unakuta umebandikwa mtangazo unatafutwa Kila mahali na familia haijui ulipo
Kumbe umefichwa Tabata kama mtoto wa mchungaji Rwakatale 🙌