cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Atlanta, mie nimesema tyuh, couz ndo sehemu nayoipenda, nasikia Waafrica wako wengi eneo hilo.Nakumbuka. Lakini si Atlanta.
Sasa huyo bwana wa Atlanta umejishitaki mwenyewe bora umtaje kabla sijaingia mitamboni CNN kuangalia mikanda yote ya nyuma.
Kwan NN anaishi Atlanta? Hata sijui anaishi sehemu gani huko.