Sasa kwanini ulimuacha?Angekuongezea hamasa ya kutafuta pesa.Tena ulipata mwenye kula ugali?Wengine wanakula Pizaa,Burger na Kuku wa KFC hawali ugali.Alikua anakata tonge mbili za ugali kwa wakati mmoja,
Yani matonge mawili mkononi kama vile Truck na tela lake.
Uliitupa bahati mwamba.😂😂😂