Ni jambo gani mchumba wako alifanya, ukajua huwezi kumuoa au kuolewa naye

Ni jambo gani mchumba wako alifanya, ukajua huwezi kumuoa au kuolewa naye

Sio debe tu, hata genge lake lenye nia ovu halikuwa na malengo mazuri na Mimi maana niliibiwa pia kitu cha thamani na madai yao Mimi ndio niliyechonga Sana kwa mamlaka husika kupitia mrembo waliyekuwa wanamtuma kutekeleza Mambo yao(kulaghai wanaume kupitia uhusiano)

Walikula mvua nyingi tu na bibi yako alitoka mwaka 2017 . Ila alijua kututeka wanaume kupitia uzuri wake kumbe jambazi .
Anhaa da ukachanganywa na kishundu cha manzi, kumbe ye mwenyewe kontawa kwenye game.

Ndio chanzo cha kukimbilia kwa madiba ehh?
 
Kiufupi waume zao wame oa wapenzi wa watu, hehehe dunia Kijiji 😂.

sema na mimi situmii, na wala sipendi anaye tumia vilevi.
Yale yalikuwa mapito tu, najua huko walipo watakuwa wake bora sana Kwa waume zao

Kama umepata hiyo neema ya kutotumia hivyo vitu ni jambo la kushukuru Mungu

Vijana wengi hiyo vita wameshindwa

Ndiyo maana magonjwa ya Figo yamekuwa mengi nowadays kutokana na pombe Kali

Enzi zetu ilikuwa mwendo wa pombe za kienyeji pamoja na beer tu mshahara ukitoka 🤗
 
Leo nime mkumbuka huyu binti baada ya kukutana naye sehemu fulani, back in the days alikuwaga ndio mchumba wa jobless pro max mimi.

she was cute, fine body, tabasamu zuri ila kisanga kilicho fanya tupeane pumziko ni hakupenda uhalisia kudadadeki.

Nakumbuka ali niuliza vipaumbele vyangu kwenye maisha, nika muambia 4 mimi, familia yangu, biashara na wanne ni yeye.

aisee ali kasirika kinyama, akadai ana taka yeye ndio kuwa kipaumbele muhimu na cha kwanza kwenye maisha yangu.

Nika muambia I'm familiar with that game, u manipulator hauwezi fanya kazi kwangu.
Baadae ali sisitiza eti ulikuwa ni utani, ili ajue kama namjali.

Ila utani pasipo na utani ndio red flag zenyewe, we were done.
Kumbe una biashara zako we tapeli sugu
 
Yale yalikuwa mapito tu, najua huko walipo watakuwa wake bora sana Kwa waume zao

Kama umepata hiyo neema ya kutotumia hivyo vitu ni jambo la kushukuru Mungu

Vijana wengi hiyo vita wameshindwa

Ndiyo maana magonjwa ya Figo yamekuwa mengi nowadays kutokana na pombe Kali

Enzi zetu ilikuwa mwendo wa pombe za kienyeji pamoja na beer tu mshahara ukitoka 🤗
Hahaha, ndio maana kufuli la mwali wangu lazima nili fungue mwenyewe, haya masuala ya mapito ni hatari kwa afya ya akili.

mimi niki okota chenchi napiga misosi, choma nyama tu.
 
Nilimuuliza kimtego ametoka kimapenzi na wanaume wangap akanijibu 6 pale pale nilimuona hana akili nikasema kwa namna yoyote ile siwezi kuoa hii taka taka

Ulitaka kusikia mmoja au hakuna kabisaaaa...😅

Na uliyenae akasema wangapi?

Maana wengi hata waliofika 100 wajua kuwajibu unaingia kingi 🤸🏼‍♀️🤸🏼‍♀️🤸🏼‍♀️
 
Hawapendi ubunifu kabisa

Inaonekana anapenda church girl ambao ni mwendo wa missionary tu hadi Yesu arudi 🙌
Nili enda tabora huko, mabinti wana andaliwa kwa mafunzo.

Mwichi una wekwa chini, binti ana jizungusha. Ikabidi nimuone mmoja wao ili anipe siri ya mafunzo Yao😅
 
Back
Top Bottom