Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
- #101
Ulimbukeni uli mzuzuaMkorogo.
ILIKUWA kama ritual yaani usiku Lazima apake mwili mzima religiously.
Ulimbukeni uli mzuzuaMkorogo.
ILIKUWA kama ritual yaani usiku Lazima apake mwili mzima religiously.
Mwaka huu mama ana enda kwaoHongera sana kama umebahatika
Mzee kwenye ubora wako😂Mabinti wa hivyo, wakikutana na Wazee wa umri wetu tumetoka kupokea pension
Unakuta umebandikwa mtangazo unatafutwa Kila mahali na familia haijui ulipo
Kumbe umefichwa Tabata kama mtoto wa mchungaji Rwakatale 🙌
😂😂😂😂Mkorogo.
ILIKUWA kama ritual yaani usiku Lazima apake mwili mzima religiously.
Mjukuu umenitenga Babu yako, hadi nakosa mtu wa kumwagiza Kiko Mjini 🤗Mzee kwenye ubora wako😂
Safi sana, Wacha tuandae matumbo ya kula biryani 🤗Mwaka huu mama ana enda kwao
Mlifikia adi huku kaka 🤣🤣🤣🫡Mahusiano ni jambo zuri, ila muda mwingine ni tabu tupu mnapo kutana watu wawili wenye mitazamo, hisia, malengo au mienendo tofauti.
Kuna mambo ikitokea mwenza wako kafanya ni ngumu kuya kubali, na ndio mwisho wa mahusiano.
Je ni jambo gani mchumba ako ali fanya ukasema this is it, hakuna cha mahusiano wala ndoa hapa.
View attachment 3487922
Huyo Mzanzibar sijui kama atakuwa amefika hivyo viwango, si unajua kule kwao dini sanaNasikia Dr. Mariposa yuko hivyo, ngoja nika hakikishe kwa vitendo 😂😊
Alikutana na binti mmoja fundi wa hayo mambo, akamficha hadi kutangazwa amepotea 🙌Mtoto wa rwakatale kili mkuta nini?, au ndio urithi uli mchanganya?
Ah jichanganye, husomagi nyuzi zake huyo ni master wa bedroom.Huyo Mzanzibar sijui kama atakuwa amefika hivyo viwango, si unajua kule kwao dini sana
Labda awe amejifunzia Bara 🤗
Dah mtoto wa mama mchungaji, ali zidiwa na 6. Kwa 6 kudadadeki.Alikutana na binti mmoja fundi wa hayo mambo, akamficha hadi kutangazwa amepotea 🙌
Labda 2027/2028.Safi sana, Wacha tuandae matumbo ya kula biryani 🤗
Na wewe si yali kukuta mkuu, miongozo iko wapi sasa.