Leo nime mkumbuka huyu binti baada ya kukutana naye sehemu fulani, back in the days alikuwaga ndio mchumba wa jobless pro max mimi.
she was cute, fine body, tabasamu zuri ila kisanga kilicho fanya tupeane pumziko ni hakupenda uhalisia kudadadeki.
Nakumbuka ali niuliza vipaumbele vyangu kwenye maisha, nika muambia 4 mimi, familia yangu, biashara na wanne ni yeye.
aisee ali kasirika kinyama, akadai ana taka yeye ndio kuwa kipaumbele muhimu na cha kwanza kwenye maisha yangu.
Nika muambia I'm familiar with that game, u manipulator hauwezi fanya kazi kwangu.
Baadae ali sisitiza eti ulikuwa ni utani, ili ajue kama namjali.
Ila utani pasipo na utani ndio red flag zenyewe, we were done.